Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
 
Aje kwanza nyumbani..
 
I am glad hata unaulizia jina la kiafrika. Mpumbavu mwingine angeenda Google kutafta majina ya kizungu ampe mtoto wake. Jina lolote ni zuri hakuna jina la kiafrika wala la kizungu zuri.

Mpe jina la ukoo wako achana na kutafta majina ya ukoo wa watu na jamii nyingine.

Jina la ukoo wako ndio unapaswa mwanaume kuliendeleza, sio kuendeleza ukoo na bloodline za jamii na koo za watu wengine.
 
Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili
 
Baadhi majina ya asili yanatokana na matukio wakati mtoto anazaliwa inategemea na kabila ni vyema ukajua maana yake kabla hujampa mtoto.
Ungetaja asili yako au kabila upate msaada kwa haraka
ID inajieleza
 
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
MASADUKAYO...... jina zuri hata kwenye biblia lipo ya kiswahili

Mtaani kifupi watamwita SADU
mkeo mama MASADUKAYO
Na wewe Baba MASADUKAYO

Inshort masadukayo atakuja kuwa mtoto mwenye akili sana kila la heri namtakia afya njema MASADUKAYO kwenye ukuaji wake
 
Back
Top Bottom