Yanga linafaa sanaaWanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.