Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Mitimirefu.
 
Muite Jabari. ni la kiswahili nadhani lina asili ya kiarabu means fearless linatumiwa sana na wamarekani weusi kama Jabari Parker nba player
Jabari Smith NBA player,Jabari banks,
 
Simba
Asante
Shujaa
Jadi
Tembo
Tumaini
Safari
Mzito
Baridi
Akili
Fikiri
Bingwa
Motomoto
Baraka
Bora
Maridadi
Leo
Halisi
Hayo majina yote ni ya wazungu, we umeyatafri kwa kiswahili, hivyo bado hujapendekeza jina la kiafrika 😂
 
nimetoka kupata tabu sana mwezi wa pili uliopita, nimetafuta jina la kiume wiki 3 jamani😛, kilikuja home kitoto kimoja kidogo kikatamka jina moja hivi ...kilitamka kiutani...nikatulia na jina hilo siku ya tatu nikagundua lile jina linamfaa mwanangu...hadi leo...malaika aliniletea jina nikapita nalo..ila kile kitoto kikijuamwanangu anaitwa lile jina kitakuwa kinahisi kilichangia kupata jina ..ila dume nakausha tuli😎
kakinunulie choda...
 
sema majina mengi ya kiafrika yana sounds ki local sana..😂
majina kama mizizi ndio maana tukifaga tunakuwa mizimu iliyovurugwa..🤣
 
We mmakonde ,Mpe majina ya kwenu Marijani, Chakala, mbonde , Moshi, kupela, chakame, Jawadi, maarifa, Moyo, zohari, kawambwa, kambanga, totoro, tokobole.
 
INATEGEMEANA NA KABILA LAKO .........ULIZIA MAANA HUWEZI MUITA RUGEMALIRA WA KIUME WA KISUKUMA AU KICHAGA
 
Back
Top Bottom