Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Safi sana na mm nina mpango wa kuwapa watoto wangu majna ya kimila tuu...ww jaribu hili NHGWANA PWAGU.!
 
nimetoka kupata tabu sana mwezi wa pili uliopita, nimetafuta jina la kiume wiki 3 jamani😛, kilikuja home kitoto kimoja kidogo kikatamka jina moja hivi ...kilitamka kiutani...nikatulia na jina hilo siku ya tatu nikagundua lile jina linamfaa mwanangu...hadi leo...malaika aliniletea jina nikapita nalo..ila kile kitoto kikijuamwanangu anaitwa lile jina kitakuwa kinahisi kilichangia kupata jina ..ila dume nakausha tuli😎
 
Makange ,kapinga ,mzava ,kinamba,Hapi ,mwakinyo,Kihiyo, mndeme, Suluo ,Aikael, Munisi .
 
Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Atuchomile Mwakachanjo
 
Back
Top Bottom