Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Jina Zuri la kiafrika la mtoto wa kiume

Mengine mazuri ni ya nambs au miezi kama Seven, April, January
 
View attachment 2970967
Dogo sisi wenzio ni wanaume tuliolelewa kiume sio kama wewe, naona unatangaza na biashara yako kabisa.

Achana na hiyo biashara kuwa wa kiume.
Mwanaume hua hajitangazi na wala hana sababu ya kusema yeye ni mwanaume. Toka lini mwanaume akasema yeye ni mwanaume, uanaume unaonekana tu by default. Nitakuja leo pia mama nikukaange mtoto mzuri.
 
Baadhi majina ya asili yanatokana na matukio wakati mtoto anazaliwa inategemea na kabila ni vyema ukajua maana yake kabla hujampa mtoto.
Ungetaja asili yako au kabila upate msaada kwa haraka.
Vipi kuhusu ya kizungu yahusishwa na matukio pia?
 
Kama ni mwanamke nashauri haya marina yafuatayo:
1. Malaika
2. Malkia
3. Wema
4. Zawadi
5. Upendo
6. Neema
7. Nuru

Mwanamme:
1. Baraka
2. Shukuru
3. Amani
4. Mwema
5. Nuru
 
Back
Top Bottom