Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Muite KinumboWanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
Aje kwanza nyumbani..Wanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.
ID inajielezaBaadhi majina ya asili yanatokana na matukio wakati mtoto anazaliwa inategemea na kabila ni vyema ukajua maana yake kabla hujampa mtoto.
Ungetaja asili yako au kabila upate msaada kwa haraka
MASADUKAYO...... jina zuri hata kwenye biblia lipo ya kiswahiliWanetu nipeni jina la mtoto wa kiume simpo lenye taste ya kiafrika,nimetoa sana majina ya kizungu kwa watoto wangu this time nataka kuonja ladha ya nyumbani,ili nisiwe mtumwa wa kuukataa unyumbani.
Chalii atakuja duniani siku sio nyingi.