Kwa uelewa wangu mdogo ,Alla inamaanisha ni Mungu kadiri ya dini ya Kiislamu, na pia wakristo wanajua mtu hawezi kujiita Mungu ni kosa!, maybe unafanya mzaha haupo serious kama ilivyo desturi yenu Gen ZKwanini??Hilo sio jina la mtoto wa kiume linaloanza na A"
Anaefuata amuite Gardiola😀,hahah no peace in AfricaAnceloti
Basi aitwe AghakhanMhhh! tulienae anatutosha si unaona vurugu lake akija wa pili si tutahama nchi...😂
utafiti wako itabidi tuutafiti pia!, huaminiki wewe...😅Basi aitwe Aghakhan
Majina ya ajabu kama haya yanakuwaga na watoto wanaokuja kufanikiwa kuliko wanaoitwa majina ya kawaida kama kina Adrian,Amani(huu ni utafiti wangu usio rasmi)
Nikija kupata mtoto nitatumia jina ambalo sio common
Enzo = RulerWife kajifungua salama kabisa, with no any complications
OK. Jina gani Zuri la mtoto wa kiume , la kikristu ,
Lianze na alphabet A
Huyu aliidanganya dunia kwa muda mrefu.Armstrong
Sasa mkuu MUNGU ni jina au cheo??umeona unataka kuhamisha mjadala,kama jina hujapenda sawa..Kwa uelewa wangu mdogo ,Alla inamaanisha ni Mungu kadiri ya dini ya Kiislamu, na pia wakristo wanajua mtu hawezi kujiita Mungu ni kosa!, maybe unafanya mzaha haupo serious kama ilivyo desturi yenu Gen Z