Angepandisha kidau dola bili9ni mbili na kuuza tu hiyo tuzo na kutumia dola billioni moja yeye na moja kuwekeza kwenye biashara ambayo ingemzalishia mengi pamoja na kusaidia kukuza vipaji vya Waafrika wengine ambao wangeweza kupata hiyo tuzo ningemuona kafanya jambo la maana sana kwake na jamii yake.
Sasa hivi tuzo haizalishi kitu imekaa tu.
Rekodi aliyoweka haifutiki kwa kuuza hiyo tuzo.