Jinamizi la G55 laitesa na kuikosesha chadema amani

Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu.

Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka upande gani. Ama kwa hakika mkakati huo wa G55 wa kustukiza, unawachanganya mno wanachadema.

Viongozi waandamizi na wanachadema wengi wamekata tamaa na wanachama wameukatia tamaa kabisa uongozi mpya ambao ndio haswa unaolalamikiwa kwa kinachotokea Chadema. Wanachadema hawana imani tena na chama hicho ambacho kimepoteza uelekeo na hakionyeshi dalili yoyote ya kutuliza mcheccheto na mashaka ya wanachama wake.

Haijulikani ni kiongozi gani muaandamizi wa kanda, mkoa au wilaya anafuata kujiengua kwa kustukiza na kujivua uongozi na uchadema.

Unashauri Chadema watumie mbinu gani kutuliza moto wa kisiasa wa g55 ambao unaonekana wazi ni mkali na hauzimiki kwa uropokaji?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Never and it will never happen
 
Vipi tume huru ya uchaguzi itakuwepo ili mshinde kwa halali mbele ya chama kilichokufa?. Tumuweke Samia na Lissu au Samia John mrema wa Chauma😂
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman, ili tuone ikiwa kuna namna ambayo chadema inaweza kusaidika 🐒
 
Hao wahuni watano na bosi wao wa sita hawawezi kuitisha CDM.
Hao wengine ni mabendera yanafuata upepo, watu wamevuta mpunga wa maana yenyewe yanakenua kenua meno na kutumbua macho kwenye media hata hayajui yanatoka wapi yanakwenda wapi...zumbukuku ulimwengu upo huku aka mapopoma.
 
Hao wahuni watano na bosi wao wa sita hawawezi kuitisha CDM.
Hao wengine ni mabendera yanafuata upepo, watu wamevuta mpunga wa maana yenyewe yanakenua kenua meno na kutumbua macho kwenye media hata hayajui yanatoka wapi yanakwenda wapi...zumbukuku ulimwengu upo huku.
kuachwa ni kitu mbaya sana gentleman, right?

unajua kwamba viongozi wa chadema hawaaminiani tena wao kwa wao kwasabb hawajui kesho nani anajiengua 🐒
 
Ili ukbmbozi upatikane ilikuwa ni lazima Yuda amsaliti Yesu

😁
kwahiyo chadema ni yesu right?
na G55 ndio Yuda?

Mbona sasa wafuasi wa chadema ambayo ndio yesu wanatukana sana na viongozi wao wanaropoka tu?🐒
 
Uliwahi kumsikia Petro Mwamba anavyoongea?

Usikariri maigizo bwashee Kwani kwa MTU MMOJA dhambi iliingia Ulimwenguni na kwa MTU MMOJA dhambi iliondoka

Sidhani kama utaelewa 😁😁😁🇹🇿
 
Jinamizi la kutoaminiana kwa viongozi waandamizi ndani ya chadema latanda na kuwatia hofu, kiwewe na mashaka viongozi wote waandamizi, wanachama na mashabiki wa chama hicho nchi, na wasijue cha kufanya dhidi ya kinachotokea zaidi ya kuropoka tu.

Haijulikani anaefuata kujiondoa chadema anatoka upande gani. Ama kwa hakika mkakati huo wa G55 wa kustukiza, unawachanganya mno wanachadema.

Viongozi waandamizi na wanachadema wengi wamekata tamaa na wanachama wameukatia tamaa kabisa uongozi mpya ambao ndio haswa unaolalamikiwa kwa kinachotokea Chadema. Wanachadema hawana imani tena na chama hicho ambacho kimepoteza uelekeo na hakionyeshi dalili yoyote ya kutuliza mcheccheto na mashaka ya wanachama wake.

Haijulikani ni kiongozi gani muaandamizi wa kanda, mkoa au wilaya anafuata kujiengua kwa kustukiza na kujivua uongozi na uchadema.

Unashauri Chadema watumie mbinu gani kutuliza moto wa kisiasa wa g55 ambao unaonekana wazi ni mkali na hauzimiki kwa uropokaji?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Uliwahi kumsikia Petro Mwamba anavyoongea?

Usikariri maigizo bwashee Kwani kwa MTU MMOJA dhambi iliingia Ulimwenguni na kwa MTU MMOJA dhambi iliondoka

Sidhani kama utaelewa 😁😁😁🇹🇿
elezea kwa kifupi tu kwa faida ya wadau gentleman?

halafu, nisipoelewa, kisha akielewa mdau mwingine wa JF nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
1743099473464.jpg
20241124_103800.jpg

Matakataja.
 
elezea kwa kifupi tu kwa faida ya wadau gentleman?

halafu, nisipoelewa, kisha akielewa mdau mwingine wa JF nadhani itapendeza zaidi 🐒
Wengi wanaelewa bwashee 😁

Lisu akawatuma Mawakili wake wakamuulize Heche ni Yeye ajaye au tumtarajie mwingine? 😂😂😂

Muwage mnasoma Maandiko mpate maarifa ya mbinguni na nchi
 
Back
Top Bottom