Jinamizi la G55 laitesa na kuikosesha chadema amani

Never and it will never happen
 
Vipi tume huru ya uchaguzi itakuwepo ili mshinde kwa halali mbele ya chama kilichokufa?. Tumuweke Samia na Lissu au Samia John mrema wa ChaumaπŸ˜‚
ni muhimu zaidi kujikita kwenye hoja mahususi mezani gentleman, ili tuone ikiwa kuna namna ambayo chadema inaweza kusaidika πŸ’
 
Hao wahuni watano na bosi wao wa sita hawawezi kuitisha CDM.
Hao wengine ni mabendera yanafuata upepo, watu wamevuta mpunga wa maana yenyewe yanakenua kenua meno na kutumbua macho kwenye media hata hayajui yanatoka wapi yanakwenda wapi...zumbukuku ulimwengu upo huku aka mapopoma.
 
kuachwa ni kitu mbaya sana gentleman, right?

unajua kwamba viongozi wa chadema hawaaminiani tena wao kwa wao kwasabb hawajui kesho nani anajiengua πŸ’
 
Never and it will never happen
chama kinapukutika halafu mshupaza shingo umeng'ang'ana tu ati it will never happen 🀣

ulofa ni kitu mbaya sana aise πŸ’
 
Ili ukbmbozi upatikane ilikuwa ni lazima Yuda amsaliti Yesu

😁
kwahiyo chadema ni yesu right?
na G55 ndio Yuda?

Mbona sasa wafuasi wa chadema ambayo ndio yesu wanatukana sana na viongozi wao wanaropoka tu?πŸ’
 
kwahiyo chadema ni yesu right?
na G55 ndio Yuda?

Mbona sasa wafuasi wa chadema ambayo ndio yesu wanatukana sana na viongozi wao wanaropoka tu?πŸ’
Uliwahi kumsikia Petro Mwamba anavyoongea?

Usikariri maigizo bwashee Kwani kwa MTU MMOJA dhambi iliingia Ulimwenguni na kwa MTU MMOJA dhambi iliondoka

Sidhani kama utaelewa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
 
Uliwahi kumsikia Petro Mwamba anavyoongea?

Usikariri maigizo bwashee Kwani kwa MTU MMOJA dhambi iliingia Ulimwenguni na kwa MTU MMOJA dhambi iliondoka

Sidhani kama utaelewa πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
elezea kwa kifupi tu kwa faida ya wadau gentleman?

halafu, nisipoelewa, kisha akielewa mdau mwingine wa JF nadhani itapendeza zaidi πŸ’
 
elezea kwa kifupi tu kwa faida ya wadau gentleman?

halafu, nisipoelewa, kisha akielewa mdau mwingine wa JF nadhani itapendeza zaidi πŸ’
Wengi wanaelewa bwashee 😁

Lisu akawatuma Mawakili wake wakamuulize Heche ni Yeye ajaye au tumtarajie mwingine? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Muwage mnasoma Maandiko mpate maarifa ya mbinguni na nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…