azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 288
- 714
Unaacha kujadili hoja, unanijadili mimi.Hata wewe unashida kwani mm nimesema kunatatizo.... Shida ushazoea ligi
Mzee wa ligi haya ushindi chukua... Mimi zijui vilatini buana.Unaacha kujadili hoja, unanijadili mimi.
Ad hominem logical fallacy. Dalili ya watu wasio na hoja.
Sasa kama hakuna tatizo what is all this fuss about?
Hakuna maendeleo yasiyo na ligi.
Nashangaa njia za uzazi was mpango hujaandika!!Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa kuolewa limekuwa tatizo kwa baadhi ya wanawake na mpaka basi.
Wengine wanafikia hatua ya kutafuta wanaume hata wa kuishi nao ili tu wafiche hiyo aibu ya kuchelewa kuolewa.
Hii ya kutafuta wanaume wa kuishi nao inaitwa sogea tukae au uchumba sugu.
Kuna wanaotafuta vijana na kuwaoa ili tu kuondoka na jinamizi la kuchelewa kuolewa na wanaume.
Achana na hilo jinamizi linalowachelewesha wanawake kuolewa, twende kwa wale ambao wanaolewa ila wanachelewa kuzaa yaani kupata watoto.
Jinamizi hili limekuwa gumzo huko duniani yaani wanawake wanavizazi ila hawashiki mimba, wanakipima hawana tatizo.
Pia kuna wale wanawake ambao wanamatatizo ambayo ni ya kujitakia wao wenyewe wanajua walivyokula ujana wao.
Yaani wanawake hao walikaanga mayai yao na kwa bahati mbaya wakayaunguza kwa kutoa mimba, hivyo hawakuweza kuyala yaani kuzaa watoto.
Kuna wanawake wengine matatizo yanatoka na uchawi/ Mizimu na uganga.
Wanawake hawa wanakuwa wanao uzazi ila uzazi wao umefungwa kwa vifungo vya nguvu za giza hivyo hawawezi kuzaa.
Vifungo hivi vya wanawake vimekuwa vinatofautiana maana wengine ni uchawi wa ndugu au wazazi au jirani hata rafiki.
Kuna wanawake ambao mizimu ya upande wa mama au baba inakuwa inawazuia wanawake kupata watoto kutokana na agano waliloingia ukoo wao.
Kuna wanawake ambao ambao wengine wamefungwa na uganga, inaweza kuwa ni chuki ya ndugu marafiki hata jirani.
Hayo ni baadhi ya majinamizi yanaoyowakumba wanawake kuchelewa kuzaa na kufikia kuteseka sana.
NB: Kuna wanachelewa kuzaa au kuolewa kwakuwa wakati wa Mungu bado.
Kwa Yesu yote yanawezekana...
Donatila
Wewe hujui mengi tu, sio vilatini tu.Mzee wa ligi haya ushindi chukua... Mimi zijui vilatini buana.
Umehamia kwenye kingereza ndo maana, hata wewe unashida kisaikolojia nenda kwa therapist..Wewe hujui mengi tu, sio vilatini tu.
Do not flatter yourself.
Wewe kuwa na mwanamke anayeweza kutoa mimba yako bila wewe kutaka kosa namba moja ni lako hapo.Nashangaa njia za uzazi was mpango hujaandika!!
Aiseh usiombe ukawa una pampu zinaingia ikifika miezi mitatu zinatoka halafu unamsafirisha hospital kwenda kusafisha!
Akianza Julia wakati was kusafisha wanavoingiza mikasi we upo nje mwili unavosisimka na kukata tamaa na kuishiwa nguvu!!
Sijawahi kufikiri kusamehe mwanamke anaetoa mimba yangu aiseh!!!
Wenye usomi wa kujua nani ana shida za kisaikolojia, wana elimu ya kujua maadili ya usomi wao yanawakataza kuagua watu mitandaoni.Umehamia kwenye kingereza ndo maana, hata wewe unashida kisaikolojia nenda kwa therapist..
Unazidi kuthibitisha tatizo lako wahi matibabu...Wenye usomi wa kujua nani ana shida za kisaikolojia, wana elimu ya kujua maadili ya usomi wao yanawakataza kuagua watu mitandaoni.
Wanaoagua watu mitandaoni, hawana usomi wala maadili ya kuagua matatizo ya kisaikolojia.
Mkuu kuolewa na kuzaa kwa afrika ni heshima kubwa. Tusilazimishe tufanane na wazungu.Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?
Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Wanaume tuna afadhari, demand yetu kwenye soko la mahusiano inadumu muda mrefu m. Mwanaume mpaka 40's bado anakimbiza tofauti na hawa wenzetu wakianza kuitafuta late 20's hakuna njemba iliyoonesha nia wanachanganyikiwaUpo sahihi. Hata wanaume tunakutana na hii kadhia. Hakuna kitu kigumu kama kumpata mwenza mnaeendana mkafanya maisha. Na ukiforce sana ndio unaharibu kabisaaaaa!!!
NB: Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi.
Nani kakwambia kuwa Yesu alioa...Ndoa ya Yesu na Mary magdalena ilikuwa na hali gani??
🤣🤣Jux aweza kuwa mgumba ,manake kabla ya vanesa,alikuwa na yule jack alokamatwa China na sembe,kama girlfriend wake kwa miaka kadhaa,bila mimba
Au huwa wanazitoa,wanaona jamaa,sio mtu wa kutengeneza naye family,manake amekaa kistarehe na kutokubali kukua.
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?
Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
You are a troll.Unazidi kuthibitisha tatizo lako wahi matibabu...
Kwanini mnapenda kuwasemea watuUpo sahihi, wanaumia ndani kwa ndani, ila nje wanaigiza tu...
🤣🤣🤣Ungejiongeza kuanza kuwasomea, kuwaagua na kuwatengenezea nyota zao kabisa, kwa ada ndogo tu ya kiushkaji.