Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kifupi Afrika hatuna heshima na individual. Yani kila kitu unapangiwa na jamii.Kiranga African mentality na umasikini Wa mawazo na fikra Ndo hufanya watu waamini bila kuoa au kuolewa baasi me au ke ana shida na jamii zetu kuchukulia hao watu ndivyo sivyo
Yani mtu unaweza kujijua mimi nina matatizo ya afya ya akili, na matatizo haya ni ya genetic, nikizaa watoto wangu nitawarithisha kichaa changu.
Ukaamua usiolewe wala kuzaa. Kwa sababu za kimaadili hutaki watoto wazaliwe na ugonjwa wa akili.
Atakuja mtu hata hakujui anakushangaa kwa nini huzai. Maswali kibao. Assumptions kibao.
Ndiyo maana hatuendelei.