Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Kujielewa hakuhusiani na Hela!
'Mwanaume' anaetambua kuwa yeye ni mwanaume na anajua nafasi yake na wajibu wake!

Kuna wanaume Wana Hela ila ni useless!
Hebu fafanua hiyo nafasi ya mwanaume ni ipi maana Hilo neno wanawake wengi huwa mnapenda kulitumia
 
Ulishuhudia kitu gani , kuna kipndi nilikua natafuta nyumba ya kukaa kwa mda fulani eneo fulani kama miezi 6 iv , nilipata nyumba nzuri ila nikapewa story za kitaa hiyo nyumba ina majini , watu wanapigwa usiku , niliichukua nione hayo majini , nakupunguziwa bei kabisa kwa sababu haikua na wateja.

Nilikaa pale hakuna chochote ila ule mtaa walikua wananiogopa mno wakihisi mimi ni jini, kukazia zaidi nikawa natupia na kanzu kabisa.
Ungejiongeza kuanza kuwasomea, kuwaagua na kuwatengenezea nyota zao kabisa, kwa ada ndogo tu ya kiushkaji.
 
Hata siku moja...
Kuna Jiji nimewahi ishi...

Hali ya hewa yake hua inapenda kutengeneza vimbunga vidogo vidogo au sometimes vikubwa kiasi...

Wengine wakiona hivyo wanakimbia ati wachawi wanakuja, mimi nilikua naenda kuingia katikati ili nione kitatokea nini...

😂😂😂😁😁!

Sema hio ilikua ni nguvu ya Mungu inafanya kazi yake Kutokana na vitu vya kichawi walivoweka Chini ya kitanda vingine mtoto kulishwa kichawi!
Muda huohuo mamamtu anaombewa kanisani hapohapo chumbani ndio hali hio inatokea ilikua ni nguvu ya Mungu kazini!
 
Back
Top Bottom