Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Jinamizi la kuchelewa kuzaa na kuolewa linavyotesa wanawake

Uzao wa kiume umepigwa....
Jamii iliwekeza sn Kwa mtt wa kike,wakasahau kabisa kuwa mtt wa kiume ndo 'mbegu" ndo mbeba uzao wa kizazi kimoja kwenda kingine..
Matokeo ndo haya ss ,wanawake wanaojiweza wengi, wanaume wachache sn!
Unavosema wanawake wanaojiweza wengi, wanaume wachache sana, unamaanisha nini? Tayana-wog
 
Nani kakudsnganyaaa!!
Ongea nao vizuri watakwambia kuna nyakati huwa wanapitia.
Hali ni mbaya sana machumbani huko wanakolala na mito yao..
Niongee nao wangapi? Wewe umeongea nao wangapi? Unajuaje hao ulioongea nao wanatosha kukupa maoni ya wanawake hao wote?

Kwani nani kakwambia kuamua kutoolewa na kutokuwa na mtoto maana yake ni kulala na mto?

Kwani wanaoolewa nao hawapitii hali mbaya sana kwenye matatizo ya ndoa?

Je, ikiwa wanaochagua kuolewa nao hupitia hali mbaya sana kutokana na uamuzi wao wa kuolewa, hilo linaubatilisha uamuzi wao wa kuolewa?

Ikiwa hilo linaubatilisha uamuzi wao wa kuolewa, huoni kuwa hao nao wanahalalisha uamuzi wa kutoolewa?

Ikiwa hilo haliubatilishi uamuzi wao wa kuolewa, huoni kuwa matatizo yapo kwenye maamuzi yoyote tu, kuolewa na kutoolewa, na watu wana haki ya kujiamulia watakavyo, bila kujali matatizo yatakayowakuta?
 
Mtu anaweza akawa kazi yake kutoa Hela tu ,lkn Ile role ya ubaba Hana,uwajibikaji kusimama km baba
Father or husband is responsibilities and not to feed ur children or to take care of ur wife , because everybody can feed ur children and can care of ur wife.

Responsibilities , is where a husband can impart knowledge and wisdom to his children and wife.

To provide emotional support to his children and wife.

To prepare the decent future to his family

Etc.
 
Father or husband is responsibilities and to feed ur children or to take care of ur wife , because everybody can feed ur children and can care of ur wife.

Responsibilities , is where a husband can impart knowledge and wisdom to his children and wife.

To provide emotional support to his children and wife.

To prepare the decent future to his family

Etc.
Ndo nilichomwambia sio issue ya pesa tu.
 
Mwaka 2024 lazima uhame, ukileta ukaidi Tena nakuhamisha...

Sure boss . Majina ya uhamisho January yakitoka Naomba Mungu niwepo kule sio poa love!
Nishakamilisha process hapa nikirudi ntapitia Tamisemi Japo sikuhizi kila kitu ni online !
Mwaka 2024 hauishi lazima niwe nishahama kule
 
Kwani kuolewa na kuzaa ni lazima?

Mbona kuna wanawake wengi wanajivunia kuishi wakifanya kazi zao kwa uhuru, bila mume wala mtoto, wanapuyanga tu wanavyotaka ma vacation dunia nzima, wanajilia maisha wanavyotaka?
Ungejua wanavyoteseka wenyewe usiamini wanavyokuaminisha nje
 
Father or husband is responsibilities and not to feed ur children or to take care of ur wife , because everybody can feed ur children and can care of ur wife.

Responsibilities , is where a husband can impart knowledge and wisdom to his children and wife.

To provide emotional support to his children and wife.

To prepare the decent future to his family

Etc.
Tayana-wog ulimaanisha such kind of husband?
 
Km umevuka kwenye hayo maeneo, mshukuru Mungu , ombea uzao wako!
Thus it!

Hii issue ipo kiroho zaidi ya sbb za kawaida tunazoziona!

Talk Abt kuolewa, wanaume wenyewe wako wapi?
Namaanisha wanaume ambao wanaojielewa na kusimama km mababa,wako wapi?
Tuna marioo kibao, Bado mashoga, mateja, jobless,ambao wanajitafuta!
Bado ambao wameoa wakakutana na wanawake Vimeo ,waliotoka salama na kuoa Tena wachache,wengi wamejeruhiwa wamepoteza dira kabisa!

Mkuu ombea uzao wako na watt wa wengine sbb mwisho wa siku watt wako watatakiwa kuoa/kuolewa!

Sio kusema wanaipatapata Bado tunaishi!
Uko sawa yaan watu wanajisemea TU asiyeolewa au kuzaa ana matatizo ya kutaka mwenye kipato kikubwa au ametoaga mimba, ndugu zao hawajapitia hali hii wakajua inavyouma
 
Shida hujui mwanamke kutaka mtoto ni kupenda au kulazimishwa.

Tuishie hapa. Hatuwezi kuelewana
Wewe unajua?

Kwa nini unataka kumpangia mtu baki jinsi ya kuishi? Kwa nini usimuache aishi anavyotaka?
 
Tuhamasishane pia na ndoa zilizopo ziwe bora za kupigiwa mfano ili wengine pia watamani kuzipata.

Tuhamasishane pia kuwalea watoto waliopo/vizuri kiroho, kimwili na kiakili.

Sijui kwanini mimi naona most of kids in our continent are miserable, nisameheni kama hili neno miserable ni kali sana. Kama mtu amewahi kuwa mwalimu anaweza kukubaliana na mimi.

Tusiishie tu kwenye kuhamasisha kuleta watoto tu na kuongeza ndoa tu.

Otherwise tuwatakie heri waliofanya machaguzi yao ya maisha, na wanaotamani tuwaombee.
 
Back
Top Bottom