Kuolewa na kuzaa ,je baada ya hapo kipi kitabadilika katika MAISHA yako.
Ikiwa mwanamke hana uwezo wa kiuchumi uliosimama imara asiwekeze kuzaa ilimrdi kazaa ila awekeze katika kujikomboa kwenye umasikini kwanza maana dunia ya science na technology inahitaji watu ambao ni productive . so hata Kama hauna mtoto kila kitu kina work out easily.
Tubadilike ukijua wewe ni masikini elekeza silaha zako zote katika kupambana na umasikini kwanza.
Watoto wapo mtaani wametelekezwa na baba zao wanateseka , wanasoma shule chafu dumu fagio ,wamekondeana kisa tu kulazimisha kuzaa .
Hapa duniani hakuna uhaba wa kitu chochote so wanawake wawe positive wafurahie maisha Kama lady jaydee, Mama Teresa .
Ishi katika purpose yako inatosha.