Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
UmemalizaHuko Afrika watu wanakupangia maisha yako wewe mwenyewe uishi vipi.
Yani mtu anakupangia uolewe na uzae, hata hajui sababu zako za kuishi unavyoishi ni zipi.
Thread closed!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmemalizaHuko Afrika watu wanakupangia maisha yako wewe mwenyewe uishi vipi.
Yani mtu anakupangia uolewe na uzae, hata hajui sababu zako za kuishi unavyoishi ni zipi.
Sio ya kucheka mkuu! Ila hakuna mchawi mbele ya nguvu ya Yesu Kristo/ Mungu baba![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu anakupangia uzae , as if kama ana project na hao watoto wako[emoji1787][emoji1787]Huko Afrika watu wanakupangia maisha yako wewe mwenyewe uishi vipi.
Yani mtu anakupangia uolewe na uzae, hata hajui sababu zako za kuishi unavyoishi ni zipi.
Mwanaume anaejielewa ndo mwenye hela au?Km umevuka kwenye hayo maeneo, mshukuru Mungu , ombea uzao wako!
Thus it!
Hii issue ipo kiroho zaidi ya sbb za kawaida tunazoziona!
Talk Abt kuolewa, wanaume wenyewe wako wapi?
Namaanisha wanaume ambao wanaojielewa na kusimama km mababa,wako wapi?
Tuna marioo kibao, Bado mashoga, mateja, jobless,ambao wanajitafuta!
Bado ambao wameoa wakakutana na wanawake Vimeo ,waliotoka salama na kuoa Tena wachache,wengi wamejeruhiwa wamepoteza dira kabisa!
Mkuu ombea uzao wako na watt wa wengine sbb mwisho wa siku watt wako watatakiwa kuoa/kuolewa!
Sio kusema wanaipatapata Bado tunaishi!
Awajui mtt n hela saiv.Mtu anakupangia uzae , as if kama ana project na hao watoto wako[emoji1787][emoji1787]
Mifano mingine ya kwenye Biblia nayo mh! Ni miujiza tu na inabakia kuwa hivyo. Ililengwa kutufundisha kitu kuhusu uwezo wa Mungu.Ni kweli Mkuu, maneno haya ya matumaini ni kwa wale ambao hawakufanya hayo uliyoyasema.
Japo kuna nyakati Mungu hutoa nafasi ya pili ili kujifunza
Unakumbuka kisa cha yule Mwanamke Kahaba aliyepelekwa kwa Yesu ili auawe kwa kupigwa mawe?
Amesema anatoa kadri tunavyomuomba, ndiyo ni yeye aliyezaliwa juzi 25 December 🙏🙏
SureAwajui mtt n hela saiv.
Imagine unalala unaota unafanya mapenzi na dada yako anaekufuata. Asubuhi ukiamka kweli umechafua shuka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata huko kwenye semina za Mwalimu wanaume wanaojitambua hamuwaoni? Yawezekana basi tatizo liko pia upande mwingine. Wote mjichunguze!Km umevuka kwenye hayo maeneo, mshukuru Mungu , ombea uzao wako!
Thus it!
Hii issue ipo kiroho zaidi ya sbb za kawaida tunazoziona!
Talk Abt kuolewa, wanaume wenyewe wako wapi?
Namaanisha wanaume ambao wanaojielewa na kusimama km mababa,wako wapi?
Tuna marioo kibao, Bado mashoga, mateja, jobless,ambao wanajitafuta!
Bado ambao wameoa wakakutana na wanawake Vimeo ,waliotoka salama na kuoa Tena wachache,wengi wamejeruhiwa wamepoteza dira kabisa!
Mkuu ombea uzao wako na watt wa wengine sbb mwisho wa siku watt wako watatakiwa kuoa/kuolewa!
Sio kusema wanaipatapata Bado tunaishi!
Kama yale ma vampire ya kwenye hadithi, manyonya damu yanayotaka damu za watoto.Mtu anakupangia uzae , as if kama ana project na hao watoto wako[emoji1787][emoji1787]
Sasa huyo mtoto wa kumzaa ukiwa na miaka 70 sijui 80 wanini, au unataka utuachie fujo kama alivyofanya yule Mzee wa IPPMifano mingine ya kwenye Biblia nayo mh! Ni miujiza tu na inabakia kuwa hivyo. Ililengwa kutufundisha kitu kuhusu uwezo wa Mungu.
Sara alizaa akiwa na miaka 80 sijui. Tunapaswa kweli kuuchukulia muujiza huu literally kama kipoozeo cha wanawake lukuki waliovuka, let's say 70, kuwa wasikate tamaa na watazaa tu hata kwenye 80s kama alivyozaa Sara?
Ndiyo. Aliyezaliwa juzi Desemba 25 anatupa wote second chance...lakini pia hizo second chance zisipokuja (kama katika hii hoja tunayoizungumzia hapa) basi tusijifariji eti wakati wa Mungu haujafika wakati kumbe tunavuna tulichopanda! [emoji1545]
Ndio ,yaani hajui hata kipato Chako,nk.Huko Afrika watu wanakupangia maisha yako wewe mwenyewe uishi vipi.
Yani mtu anakupangia uolewe na uzae, hata hajui sababu zako za kuishi unavyoishi ni zipi.
Ipp Bora uwezo upo watt hawana shida wale!Sasa huyo mtoto wa kumzaa ukiwa na miaka 70 sijui 80 wanini, au unataka utuachie fujo kama alivyofanya yule Mzee wa IPP
Hivyo ukiona jambo lako halijafanikiwa ujue, wakati sahihi bado haujafika [emoji120][emoji120]
Nimetoa baadhi ya sbbHata huko kwenye semina za Mwalimu wanaume wanaojitambua hamuwaoni? Yawezekana basi tatizo liko pia upande mwingine. Wote mjichunguze!
Naamini wanaume wanaojitambua wapo kibao. Hali kadhalika wanawake wema pyua waifu matirio wapo kibao. Ni wajibu wetu kuwatafuta (kiroho or whateva!) mpaka wapatikane.
Kusema eti wanaume/wanawake wanaojitambua wa kuingia nao katika ndoa wako wapi ni nonsense!🚮
Kwa huruma ya Mungu,Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna mambo ambayo yamekuwa ya yakiwatesa na kuwasumbua wanawake ni kuchelewa kuolewa na kuchelewa kuzaa.
Tukianza na hili jinamizi la kuchelewa kuolewa limekuwa tatizo kwa baadhi ya wanawake na mpaka basi.
Wengine wanafikia hatua ya kutafuta wanaume hata wa kuishi nao ili tu wafiche hiyo aibu ya kuchelewa kuolewa.
Hii ya kutafuta wanaume wa kuishi nao inaitwa sogea tukae au uchumba sugu.
Kuna wanaotafuta vijana na kuwaoa ili tu kuondoka na jinamizi la kuchelewa kuolewa na wanaume.
Achana na hilo jinamizi linalowachelewesha wanawake kuolewa, twende kwa wale ambao wanaolewa ila wanachelewa kuzaa yaani kupata watoto.
Jinamizi hili limekuwa gumzo huko duniani yaani wanawake wanavizazi ila hawashiki mimba, wanakipima hawana tatizo.
Pia kuna wale wanawake ambao wanamatatizo ambayo ni ya kujitakia wao wenyewe wanajua walivyokula ujana wao.
Yaani wanawake hao walikaanga mayai yao na kwa bahati mbaya wakayaunguza kwa kutoa mimba, hivyo hawakuweza kuyala yaani kuzaa watoto.
Kuna wanawake wengine matatizo yanatoka na uchawi/ Mizimu na uganga.
Wanawake hawa wanakuwa wanao uzazi ila uzazi wao umefungwa kwa vifungo vya nguvu za giza hivyo hawawezi kuzaa.
Vifungo hivi vya wanawake vimekuwa vinatofautiana maana wengine ni uchawi wa ndugu au wazazi au jirani hata rafiki.
Kuna wanawake ambao mizimu ya upande wa mama au baba inakuwa inawazuia wanawake kupata watoto kutokana na agano waliloingia ukoo wao.
Kuna wanawake ambao ambao wengine wamefungwa na uganga, inaweza kuwa ni chuki ya ndugu marafiki hata jirani.
Hayo ni baadhi ya majinamizi yanaoyowakumba wanawake kuchelewa kuzaa na kufikia kuteseka sana.
NB: Kuna wanachelewa kuzaa au kuolewa kwakuwa wakati wa Mungu bado.
Kwa Yesu yote yanawezekana...
Donatila