Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna wanawake wengine wanaolewa, wanazaa. Lakini wanazaa watoto wa kike tu.Dada donatila eee, hapo kwenye enibiiii ndio jibu la changamoto zote😂😂😂.
Hili la kukosa watoto kwenye ndoa kama limeegemea upande mmoja kwa nilivyoona mm,maana shida zingine chanzo n Mwanaume.
Basi wanasemwa, wengine wanapigwa kabisa na kuachwa, kwa sababu hawazai watoto wa kiume.
Kichekesho ni kwamba, mtu anayefanya mtoto azaliwe wa kiume ni mwanamme, si mwanamke.
Hivyo, wanawake hawa huwa wanasema vibaya na kupigwa kwa kosa la mwanamme kushindwa kuzalisha mtoto wa kiume!