Sasa nimeshajua kwanini imekua rahisi kwako kucheza na hii pisi utakavyo🤣.
Waafrika tusioamini katika uchawi ni wachache sana na hao wachache ni sisi ambao tuko vizuri kichwani.
Huyo demu wako ukifuatilia comments zake ni zero brain akili ukubwa wa kisoda halafu kakutana na wewe bazazi akili ukubwa wa paa lazima sehemu zake za siri ziumie.
Huyo
Antonnia ukimuweka na wanawake smart kama
Depal na
Joannah halafu uwape mada ya maana ya kujadili nina uhakika atabakia kuitikia tu tena ataitikia bila kuelewa anaitikia nini.
Iam sure hujamchezea
Depal cause she is way too smart to be your marinette doll
.Depal is too smart that ana uwezo wakuwekwa kamati ya kujadili mbinu za kuondoa mgao wa umeme na akatoboa.😁
Lastly,hongera. Unachezea pazuri mkuu,mi mwenyewe natamani nipate fursa yakuchezea zile.hips wakati natafuta beauty with brain ya kuoa.😁