sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma kwenye sekta ya sanaa.
Views milioni zamani ilikuwa ni ishu ya kawaida mno, kwa sasa watu wanawasha data kwa machale achilia mbali kuzama youube kwa manati.
Tukumbuke kwamba youtube views ilikuwa moja kati ya silaha kubwa mno kufanya wasanii wetu kuonekana wakubwa nje ya mipaka kwa sababu kupata izo views hata kwa msanii wa afrika kusini, nigeria, congo, n.k si shughuli ndogo.
Pia hizi youtube views si ujivuni, ni pesa!! yale matangazo yanayoonyeshhwa kabla huwa yanalipiwa na makampuni na msanii analipwa na youtube, views elf 1 huwa ni takribani shilingi 2,000 , zamani mtu alikuwa na uhakika wa kurudisha pesa hata akitengeneza video kwa milioni 3+, ila kwa sasa hali ni tofauti, hii itapelekea wasanii waanze kupunguza bajeti za video na hatimae sanaa yetu kushuka
,