CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
kaka ndiyo kazi zangu hizo settings zote nazijua vizuri mnoo yaani ,hawa ni wezi hiyo mb 600 ni botion hapo uhakika wanatoa 250 mb hii awamu ya sita kwa kweli sasa hapo TCRA hutawasikia zaidi ya kufungia nyimbo za ney wa mitego na kuacha za kina meja kunta za kuhimiza wadada watoe kwa mpalangeππ pole mkuu, ila ujue nini, hebu ingia kwenye data usage kule kwenye settings ucheki huo mtafuno umekuwaje
kama unaweza ndugu nisaidie hata buku nimeomba hadharani hapa niweke kwenye airtel ingawa speed ya kobe najua siyo wezi nina kazi usiku huu kutuma logo jamani dah nitakulipa hata kesho au kama unapenda vitabu nikutumie..aibu sana hii awamu ya sita nyookoππ pole mkuu, ila ujue nini, hebu ingia kwenye data usage kule kwenye settings ucheki huo mtafuno umekuwaje
download app ya halo pesa wanakupa gb 2 freekama unaweza ndugu nisaidie hata buku nimeomba hadharani hapa niweke kwenye airtel ingawa speed ya kobe najua siyo wezi nina kazi usiku huu kutuma logo jamani dah nitakulipa hata kesho au kama unapenda vitabu nikutumie..aibu sana hii awamu ya sita nyooko
nishafanya hiyo ya halotel nikapata gb 2 nilichojifunza kwao ukiweka kuanzia 3000 kupata gb 2 hawaibi na kawaida mimi huwa naweka 3000 hadi 10,000 ila kuanzia jana nimepata kazi ya logo ya dollar 100 mteja yuko Uk anataka still na animated logo anataka aone kazi kwanza alipe hela na namjua ni mtu straight hana longolongo nikaweka buku ya kwanza dk 4 imebaki 149 leo tena mara mbili the same issue na zote nakopa kwa mdau wa halopesa aisee nimenyosha mikono juu najua for sure awamu hii ya sita hakuna mtetezi kabisaa..anyway basi aisee nitajua kesho kumuelezea ukweli tu anitumie hata 10k ya bando ingawa heshima itashukadownload app ya halo pesa wanakupa gb 1 bure
au tafta line ya tigo tuma BURE kwenda 15166 utapata GB2 free
Watafata nyayo za bongo movieBONGO FLAVA WASIPOKUWA MAKINI WATAKUMBANA NA ANGUKO KAMA LILILOWAKUTA DANSI NA TAARABU
Mnadanganyana na viewers wa kucheatKwny views na pesa wanazolipwa umeingia Chaka.
Ali kiba alisemaga views 1m unapewa $400.
Amini nakwambia Diamond akitoka nje ya bongo flava, basi kifuatacho hakina utofauti ma bongo movieKifo Ni kifo ila Cha bongomuvi sijawahiona
tujikite kwenye maada kuu mkuu, sanaa yetu inaenda shimoniMnadanganyana na viewers wa kucheat
Voda nilinunua mb 2200 (2gb+) lakini nikaishia kudownload file la mb 400 nikaambiwa nimefikia kikomo.kaka ndiyo kazi zangu hizo settings zote nazijua vizuri mnoo yaani ,hawa ni wezi hiyo mb 600 ni botion hapo uhakika wanatoa 250 mb hii awamu ya sita kwa kweli sasa hapo TCRA hutawasikia zaidi ya kufungia nyimbo za ney wa mitego na kuacha za kina meja kunta za kuhimiza wadada watoe kwa mpalange
Unajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangazeWHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
hahahahaWHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
WHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
download app ya halo pesa wanakupa gb 2 free
au tafta line ya tigo tuma BURE kwenda 15166 utapata gb 2 free
yan wew ni mimi 100% hawa jamaa ni nyoko week hii nimeunga bundle mara 5 ni mwendo wa 75% tuWHO CARES KAKA, NIMEWEKA MB 600 KWA BUKU VIA HALOPESA 5 MINUTES AGO NIKO HAPAHAPA JAMII FORUMS INAKUJA MESEJI KWAMBA NIMETUMIA 75 % NINA MB 149 JANA IMEKUJA HIVYOHIVYO MB 149 MIMI MTU WA IT LAPTOP NA SIMU HAZINA AUTO UPDATE SIWEKI TENA BANDO HALOTEL ***** ZAO JAMAA WANA ENJOY SAN AWAMU YA TOZO HII NI WIZI KILA KONA..AWAMU YA SITA KWELIKWELI
lakin kipindi cha nyuma mbona zilkua zinakaa kwamba saivi update za simu ndo zimekua nyingi mno kama alvyo sema ex waziri ndugulileUnajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangaze
hakuna cha wizi mkuu, tatiz wengi bado hamja adjst na mabadiliko ya mabando, usitumie bando kama zamani zilivyokuwepo gb za kutosha.lakin kipindi cha nyuma mbona zilkua zinakaa kwamba saivi update za simu ndo zimekua nyingi mno kama alvyo sema ex waziri ndugulile
Nimeweka airtel leo speed konokono ila bando liko salama hadi sasa ukweli ni kwamba mb 600 ya halotel ni kama 250 ni wezi mnoooyan wew ni mimi 100% hawa jamaa ni nyoko week hii nimeunga bundle mara 5 ni mwendo wa 75% tu
Najua ninachokisema,ukiweka gb2 ya 3k ulaji wake wa kawaida hiyo mb 600 kwa.buku ni disaster,naku challenge iweke halafu kaa hapahapa jf 5 minutes uje unipe jibu by the way nishahama niko airtrl hawana speed ila siyo weziUnajiita mtu wa It kwenye simu yako utakuta umeweka Facebook App, na Insta. Hizo ukiweka tu Bundle zinaanza kudownload automatic, Ili ukiifungua Vitu visianze kuload, So kuweni makini, Mitandao haiibi Kabisa bando zenu kama huamini nenda kwenye setting Search Usage kisha angalia App zinazoongoza kwa kula Bando kwenye simu yako, Facobook na insta lazima zikushangaze