Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Jinamizi la Udini Tanzania: Utabiri wa Sheikh Suleiman Takadir

Paskali,
Naamini kwa dhati ya moyo wangu tena bila kusita kuwa hakuna mtu aliyetafiti tatizo la udini Tanzania kunishinda.

Naomba radhi ndugu zangu msinione najipigia zumari mimi mwenyewe.

Niliandika makala kuhusu ''Dini'' na kwa makusudi niliacha kuandika ''Uislam,'' (vinginevyo kichwa cha habari kingekuwa Uislam Ulivyowaunganisha Watanganyika Dhidi ya Ukoloni).

Makala ilitolewa matoleo manne katika Raia Mwema.
Huu ni mwezi mzima.

Makala hayo yanaeleza juhudu za Waislam kuleta umoja wa wananchi kupitia TANU ili kupigania uhuru wa Tanganyika na kuondoa kila aina ya ubaguzi.

Uhuru ukapatikana.

Mimi naweza hapa nikaeleza historia ya ubaguzi baada ya Tanganyika kuwa huru lakini nafanya staha kwani imeelezwa kuwa ''Nyerere alikemea udini.''

Sioni kama ni busara kwangu kuingia katika historia hiyo.

Lakini tatizo hili nimelieleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.

Wala tatizo kubwa linalokabili nchi yetu si ukabila wala ukanda.

Hata chini ya ukoloni ukabila na ukanda haukupata kuwa tatizo.
Tatizo la ubaguzi baada ya uhuru lilianzishwa na wale walioshika serikali.

Hawa wanafahamika.

Wanaobaguliwa pia wanafahamika na wameeleza hadharani kuhusu ubaguzi huu.

Hawajaacha kueleza kuhusu ubaguzi huu hadi leo.

Serikali ina hofu kubwa ya kujadili tatizo hili.
Wanadhani na wanategemea tatizo hili litajiondoa lenyewe.

242088131_1025265708220807_2512999011382367468_n.jpg

Utafiti huo umeufanyia wapi mzee. Hivi mikoa yote ya nchi hii umeizunguka kweli maana 90% ya picha zako upo nje ya nchi au unafanya tafiti za makaratasi na makadirio. Afu ni wapi na lini kuna usawa katika jamii. Nipe hata punje Moja ya mfano
 
Mzee mzinguaji sana huyu. Udini na umimi unafanya hadi point za maana alizo nazo kuonekana hazifai.

Sio rahisi kuamimisha watu kwamba uislamu na familia ya mzee mudi na kleist ndio waasisi na watu muhimu pekee kwenye kutafuta uhuru wa hii nchi.
 
Hivi wewe mzee unafahamu kweli maana ubaguzi wa dini?! Nchi kuna watu wanaokosa fursa kwa sababu ya dini zao?
Nchi hii ambapo watu wa dini zote mbili wameshashika madaraka makubwa kabisa ya kisiasa ya nchi hii na nyadhifa nyingine kede kede za kitaifa, nchi amabayo fursa za kiuchumi unaona sura za watu wa dini zote mbili hadi na sura nyingine za kutoka huko Persia unaweza kweli kukaza mishapa na kutokwa na povu kwamba kuna ubaguzi wa dini??
Paskali,
Naamini kwa dhati ya moyo wangu tena bila kusita kuwa hakuna mtu aliyetafiti tatizo la udini Tanzania kunishinda.

Naomba radhi ndugu zangu msinione najipigia zumari mimi mwenyewe.

Niliandika makala kuhusu ''Dini'' na kwa makusudi niliacha kuandika ''Uislam,'' (vinginevyo kichwa cha habari kingekuwa Uislam Ulivyowaunganisha Watanganyika Dhidi ya Ukoloni).

Makala ilitolewa matoleo manne katika Raia Mwema.
Huu ni mwezi mzima.

Makala hayo yanaeleza juhudu za Waislam kuleta umoja wa wananchi kupitia TANU ili kupigania uhuru wa Tanganyika na kuondoa kila aina ya ubaguzi.

Uhuru ukapatikana.

Mimi naweza hapa nikaeleza historia ya ubaguzi baada ya Tanganyika kuwa huru lakini nafanya staha kwani imeelezwa kuwa ''Nyerere alikemea udini.''

Sioni kama ni busara kwangu kuingia katika historia hiyo.

Lakini tatizo hili nimelieleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.

Wala tatizo kubwa linalokabili nchi yetu si ukabila wala ukanda.

Hata chini ya ukoloni ukabila na ukanda haukupata kuwa tatizo.
Tatizo la ubaguzi baada ya uhuru lilianzishwa na wale walioshika serikali.

Hawa wanafahamika.

Wanaobaguliwa pia wanafahamika na wameeleza hadharani kuhusu ubaguzi huu.

Hawajaacha kueleza kuhusu ubaguzi huu hadi leo.

Serikali ina hofu kubwa ya kujadili tatizo hili.
Wanadhani na wanategemea tatizo hili litajiondoa lenyewe.

242088131_1025265708220807_2512999011382367468_n.jpg
 
Utafiti huo umeufanyia wapi mzee. Hivi mikoa yote ya nchi hii umeizunguka kweli maana 90% ya picha zako upo nje ya nchi au unafanya tafiti za makaratasi na makadirio. Afu ni wapi na lini kuna usawa katika jamii. Nipe hata punje Moja ya mfano
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi).

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.​
 
Back
Top Bottom