chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina. Ila kiukweli sema ndio wakati wa uzuri kulikuwa hakuna mazuri mda ule. Ilikuwaje mwisho wa siku kuwa na kichaa fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aiseee majirani hao hamkosi majibuInasemekana alikuwa anatembea na Mme WA mtu kisha anatamba mwenye Mme akaenda zake kinole huko sasa dishi halishiki chanel
Kuna kipindi miaka kama 5 hivi nyuma alianza kudata hadi akapelekwa mhimbili akawa kama kachizi. Baada ya hapo hakuwahi kusikika tena. Sijui alipona au la, alipotea kama Vengu.Sijui hata yuko wapi now lol.
Ila alikua vizuri kwenye uigizaji.
Halafu wizara ya utamaduni ipo kimya kwa mambo kama haya.Umejaza picha kibao lakini zote unatuonyesha macho tu. Yako wapi maadili ya kiafrika?
Ukizubaa dawa unapata fangasi wa ubongo wanaoleta kichaa.Akaoana na Mr nice wakapeana ARV,aliyeleta ndani nani....sijui
USije kumfanya kama Mwalimu wa kanda ya ziwaUkimpata, mwambie anitafute ili nimsafishie nyota yake. Mimi ni mganga maarufu kutoka Tanga.
Kijana wa hovyo sana wewJini Kabula daah[emoji134][emoji134]ilikuwa nimle 2012 kipindi yupo hot,tukashindwana kwenye Bei maana alitaka nimpe Laki Moja cash kabla hajapanda gari langu nikakataa,hiyo ilikuwa WAUNGWANA PUB nyuma ya Sinza Mapambano