King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Long time sana Jini na Chuz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jini Kabula daah[emoji134][emoji134]ilikuwa nimle 2012 kipindi yupo hot,tukashindwana kwenye Bei maana alitaka nimpe Laki Moja cash kabla hajapanda gari langu nikakataa,hiyo ilikuwa WAUNGWANA PUB nyuma ya Sinza Mapambano
Na Bushoke pia alikuwa anarukia kwa sanaAkaoana na Mr nice wakapeana ARV,aliyeleta ndani nani....sijui
Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina.
Niliskia hii mda kidogooInasemekana alikuwa anatembea na Mme WA mtu kisha anatamba mwenye Mme akaenda zake kinole huko sasa dishi halishiki chanel
Atakuwa amezeeka maana hizo picha Ni zaidi ya miaka 15 iliyopita.Ukimpata, mwambie anitafute ili nimsafishie nyota yake. Mimi ni mganga maarufu kutoka Tanga.
Nyinyi watoto wa juzi hamuwez kumfahamu...Ni Nani huyu?
Kweli maana nakumbuka kipindi hicho nilikuwa bado home nakula ugali wa bure.Niliifuatilia hii tamthilia mwanzo mwisho.Nakumbuka baadhi ya wahusika Kama:-mzee Chilo,Basupa,Cojak,2012 alikua hot wapi? Huyu alikua hot 2006-2007 kipindi hiko na tamhtilia yao ya jumba la dhahabu chini ya Mr.Chuz(Tuesday Kihangala)
Ukimpata, mwambie anitafute ili nimsafishie nyota yake. Mimi ni mganga maarufu kutoka Tanga.
Kama una umri chini ya miaka 20 si rahisi kumkumbuka huyu.Pia miaka hiyo hasa vijijini wengi hawakuwa na dish na wengine hawakuwa na screen kabisa hivyo hawakuona hii tamthilia.Ni Nani huyu?
Duuh poleee yake aseeehKuna kipindi miaka kama 5 hivi nyuma alianza kudata hadi akapelekwa mhimbili akawa kama kachizi. Baada ya hapo hakuwahi kusikika tena. Sijui alipona au la, alipotea kama Vengu.
Alikuwa anatembea na waume za watu tatizo itakuwa wamemfanyia kitu maana mara ya mwisho alitaka kuvunja ndoa ya abdi banda ila naona waliyamaliza kimya kimya na uchawi pia upo lakini.Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina. Ila kiukweli sema ndio wakati wa uzuri kulikuwa hakuna mazuri mda ule. Ilikuwaje mwisho wa siku kuwa na kichaa fulani.
View attachment 2525899View attachment 2525903
Mtendaji wa kata ya Kibiti.Ni Nani huyu?
Lol imeingiaje hapo?Sijui hata yuko wapi now lol.
Ila alikua vizuri kwenye uigizaji.