Jini Kabula alikuwa mzuri ila bahati mbaya hakuwa na nyota

Jini Kabula alikuwa mzuri ila bahati mbaya hakuwa na nyota

Kama una umri chini ya miaka 20 si rahisi kumkumbuka huyu.Pia miaka hiyo hasa vijijini wengi hawakuwa na dish na wengine hawakuwa na screen kabisa hivyo hawakuona hii tamthilia.
Ila ilitolewa ktk Mfumo wa VHS nakumbuka, ile mikanda mikubwa na waliuza sana
 
Sijui hata yuko wapi now lol.
Ila alikua vizuri kwenye uigizaji.
Mara ya mwisho nilimkuta lutindi korogwe hospital ya vichaa,wayback 2018I don't know what goes on,in her life now!
 
Ila aliwahi kusema kuwa,,,, hatajishurisha Tena na Sanaa ya Maigizo na hiyo ni baada ya industry kupolomoka,,
Sasa hivi wanalipwa vizuri, huwa ninawasikia wanashukuru Azam tv kwamba sasa hivi angalau maisha yanaenda vizuri
 
Back
Top Bottom