Jini Kabula alikuwa mzuri ila bahati mbaya hakuwa na nyota

Huyu si alibebaga Mimba ya BUSHOKE? Iliishia wapi au BUSHOKE alimuoa?
 
2012 alikua hot wapi? Huyu alikua hot 2006-2007 kipindi hiko na tamhtilia yao ya jumba la dhahabu chini ya Mr.Chuz(Tuesday Kihangala)
Kweli maana nakumbuka kipindi hicho nilikuwa bado home nakula ugali wa bure.Niliifuatilia hii tamthilia mwanzo mwisho.Nakumbuka baadhi ya wahusika Kama:-mzee Chilo,Basupa,Cojak,
 
Nilimkubali sana huyu dada kivyanguvyangu tu. Sikusema na mtu.
 
Kuna kipindi miaka kama 5 hivi nyuma alianza kudata hadi akapelekwa mhimbili akawa kama kachizi. Baada ya hapo hakuwahi kusikika tena. Sijui alipona au la, alipotea kama Vengu.
Duuh poleee yake aseeeh
 
Mnaokumbuka jumba la dhahabu mtakuwa mshapata huyu dada silijui jina. Ila kiukweli sema ndio wakati wa uzuri kulikuwa hakuna mazuri mda ule. Ilikuwaje mwisho wa siku kuwa na kichaa fulani.

View attachment 2525899View attachment 2525903
Alikuwa anatembea na waume za watu tatizo itakuwa wamemfanyia kitu maana mara ya mwisho alitaka kuvunja ndoa ya abdi banda ila naona waliyamaliza kimya kimya na uchawi pia upo lakini.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…