Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Chawote...!!
Du Kama ndio huyo basi ni Kazeze Ni Kazeze,Ilikuwa Saa kumi kasorobo Sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akiwa anaadhini alah akbaru alah akbaru akiwa anamaanisha mungu mkubwa mungu mkubwa.