Jini la vita limejamba EU

Ukraine bye bye... Tuliwaambia lakini.

Hitler mwenyewe alikuwa amekaribia kuiteka dunia yote ila alipoambiwa wanajeshi wa Urusi wapo hapa Ujerumani ikambidi adumbukie kwenye pipa la asidi 😬😬
Mmmh wabongo wanaijua mikakati ya kivita kuliko wahusika wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tumult
 
Asante kwa makala nzuri [emoji457]
Vikwazo vinavyowekewa Urusi ni vya visasi na gubu za nyuma mfano, US ina kisasi na gubu la Moscow kudukuwa uchaguzi uliompa Trump ushindi dhidi ya Democrat chama cha Biden.

UK na wenzake wamejiwahi kuiwekea Moscow vikwazo lakini Berlin imesita kwa sababu viwanda vyake vinategemea nishati ya gesi toka Urusi na Urusi imeonya kuwa itajibu vikwazo hivyo vilivyo na kuwataka wajiandae kisaikolojia. Hii inafanya NATO kukosa umajumui wa malengo (lack of unity of purpose) katika vita hii.
 
Da aisee uko vizuri
 

Da aisee uko vizuri
Namna gani nzuri ya kumaliza fitna ya kihistoria kati ya Urusi na US

Ili kuondoa mvutano kati ya Superpowers wawili wa dunia (US na Urusi) ni kwa Urusi kuamua kuwa mwanachama wa EU, hii itasawazisha (neutralize) nguvu za US kwa sababu ndani ya EU kuna wanachama wa NATO pia hivyo US inapoitishia Urusi kwa kutumia NATO basi wanachama wa EU ambao pia ni washirika wa NATO hawatamkubalia US badala yake watalazimika kumtetea Urusi ambaye ni mwana EU mwenzao (japo siyo mwana NATO)

Kati ya wanachama 27 wa EU, 21 pia ni wanachama wa NATO. Wana-NATO wengine wanne ni waombaji wa uanachama wa EU ambao ni Albania, Montenegro, Macedonia Kaskazini, na Uturuki. Wengine wawili Iceland na Norway wamechagua kuwa nje ya EU, hata hivyo wanashiriki kwenye soko la pamoja la EU.

Wanachama waanzilishi wa NATO ni Ubelgiji, Canada, Denmark, Ufaransa, Iceland, Italia, Luxembourg, Uholanzi, Norway, Ureno, Uingereza na Marekani. Ukraine siyo mwanachama wa EU wala NATO lakini imeshiriki operesheni nyingi za NATO (Urusi naye siyo mwanachama wa EU wala NATO). Aidha, zipo taarifa kwamba Bosnia na Herzegovina, Georgia na Ukraine wameomba kujiunga NATO.

Case Study ya Israel ambayo Urusi ingeiiga.

Hadi mwaka 2021, wanachama sita pekee kati ya ishirini na wawili wa Arab League wameitambua Israel: Egypt, Jordan, United Arab Emirates, Bahrain, Sudan na Morocco. Mauritania ilivunja uhusiano na Israel. Pia dini ya Uislam ni ya pili (19%) kwa kubwa Israel baada ya ile ya Jewish 75%, hii inampa Israel nafasi OIC ili taasisi hii ya kimataifa ya kiislamu iweze kusimamia maslahi ya Uislamu ndani ya Israel ambako kuna uhuru mkubwa wa kuabudu kikatiba. Fursa hii inaiangukia Israel kwa kuwa mshiriki OIC asiye na kura, pia Arab League Israel ana fursa, japo ndani ya moyo wa Israel fursa hizi anazitumia kimkakati ya kijasusi kwa ajili ya ulinzi na usalama wake (kujuwa anavyojadiliwa huko).

Urusi ilitakiwa ijifunze hili toka kwa Israel; kwa kujiunga EU ili iweze kusawazisha (ku-neutralize) nguvu za NATO. Badala yake Urusi ilibuni taasisi ya Eurasian Economic Union (EEU) ambayo ina wanachama 5 ambao ni Jamhuri za Kisovieti za iliyokuwa USSR i.e. Russia, Kazakhstan, Belarus, Armenia na Kyrgyzstan.
 
Mi nadhani Uhasama hasa upo kati ya Urussi na nchi za ulaya na si Marekan uncle Sam wana mtumia kumtisha Urussi. Urussi yalio makolon yake yote Yana mkimbia na Wana taka kujiunga EU
 
Kwani unafikiri Latvia, Lithuania, Slovenia ni nch kubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngoja tuone...
Uwezo wa rais Putin kubadilika kulingana na matakwa ya mazingira na wakati ni mkubwa kuliko Biden, Xi, Boris Johnson, Zelensky (Pariah katika nchi yake mwenyewe ya Ukraine) nk duniani. Hii inampa Putin tuzo kama mwanasiasa pekee duniani mwenye haiba hiyo adhimu.

Putin aliwahikuwa rais, akaja kuwa waziri mkuu, akarudi tena kuwa rais, ni mwanasiasa na kiongozi wa nchi mwenye ushawishi mkubwa na Kremlin katika safu ya warasimu wa kisiasa na kiserikali nchini Urusi. Putin anaongea lugha za kiserikali, kisiasa na kijeshi kwa sababu ni rubani wa ndege-vita mstaafu.

Aidha Putin ni rais pekee anayeongoza nchi kubwa kijiografia duniani. Kwa mfano eneo linaloongozwa na rais wa Tz ni sawa na eneo linaloongozwa na mkuu wa mkoa Urusi, yaani Tz ni sawa na mkoa mmoja wa Urusi.


Urusi inadhibiti eneo la bahari ya Black Sea upande wa Crimea, imeweka manowari na patrol za nyambizi pale. Aidha, mpaka wake na Ukraine ndiyo umechukuwa eneo kubwa kijiografia kuliko mipaka ya Ukraine na Hungary na Poland.

NATO na EU wanataka kupeleka silaha Ukraine, ni wazi kwamba watatumia mipaka ya Hungary na Poland ambazo sasa pia zitakuwa shabaha za Urusi kwa sababu kuingia Ukraine kwa njia ya anga pia ni sawa na kutumia mdomo wa mamba/nyangumi kuingia ziwani/baharini kwa sababu anga yote ya Ukraine iko kwenye udhibiti wa Urusi na kwa tangazo la jana la Urusi kupitia azimio la Kremlin kwamba kikosi cha Nyuklia kimewekwa kwenye tahadhari kubwa ni wazi kwamba Urusi inaweza pia kuvunjavunja viwanja vyote vya ndege vya Ukraine ili kuwakatia njia (access) NATO na EU na kwamba hata misaada ya kibinadamu Urusi inaweza kulazimisha dunia sasa itumie njia ya mipaka yake (Urusi) ya nchi kavu kuingiza misaada Ukraine ambako huko nako NATO na EU ziwekwishaweka vikwazo na kufunga mipaka ya anga na nchi kavu.

Hungary na Poland zikitumika kama njia pekee za kuifikia Ukraine basi Hungary na Poland (ambazo zina uchumi aina ya mhogo (cassava economy, yaani ni kati ya nchi maskini ndani ya EU)) zitakuwa zimejiingiza kwenye Stockholm Syndrome (zitakuwa zimejichumbia kwa Urusi kwa ushenga wa NATO na EU. Umaskini mbaya sana). Salama ya Hungary na Poland hapa ni kuchagiza NATO na EU kutumia vita ya vikwazo badala ya ile ya moto (silaha).

Uwezo wa jeshi la Urusi:

How big is Russia’s army?


Russia has around 900,000 active military personnel and 2ml reserve (making it the world 5th largest army in-terms of span-of-control) roughly 200,000 of which were stationed at the Ukrainian border ahead of the invasion.

The Russian navy operates 74 warships and 51 submarines, while the army has more than 13,300 tanks, almost 20,000 armoured fighting vehicles, and nearly 6,000 pieces of artillery.

Its air force boasts around 1,300 aircraft and 500 helicopters.

Russia also possesses plenty of long-range weaponry, including more than 500 land-based ballistic missile launchers.

Source: How many troops does Russia have? Size of Russian army compared to Nato and Ukraine as Putin launches invasion (inews.co.uk)

Radar za Kijeshi za Urusi zinaona dunia nzima kwa teknolojia ya satellite.

Bajeti ya jeshi la Urusi 2020 ilifika $.61.7 bilioni (Tshs.141.91 trilioni).

Kwa mujibu wa Global Firepower 2020 jeshi la Urusi linashikilia nafasi ya pili duniani kwa ubora.


Β©Douglas Majwala,
United Republic of Tanzania,
February 28, 2022.


Manowari.


Nyambizi.


Ndege-vita.


Vifaru.

Taswira zote kwa hisani ya google.
 
Urusi wakipigwa msilalamike
Putin anapigana vita mbili, hii ya pili ya vikwazo vya kiuchumi ndiyo ngumu mno.

Sidhani Taifa kubwa lenye nguvu kama Urusi linaweza kwenda mbele na kukua zaidi na zaidi kama halifanyi biashara na nchi za Ulaya, Marekani na Canada.

Hii inaitwa killing softly, jamaa wanajua wanampatia wapi Putin, stay turned.
 
Yameshammaliza anapiga kelele tu hapo sahivi
 
Ukraine bye bye... Tuliwaambia lakini.

Hitler mwenyewe alikuwa amekaribia kuiteka dunia yote ila alipoambiwa wanajeshi wa Urusi wapo hapa Ujerumani ikambidi adumbukie kwenye pipa la asidi [emoji51][emoji51]
Za ndaaani kabisa hakudumbukia kwenye pipa bali alipewa hifadhi huko vatican kwa siri sana. Za ndan pia katibu mkuu aliyemrithi ban ki moon ni kiongozi mkubwa wa nazi kwahyo manazi yanaendelea na harakati zao kwa siri sana.
 
Mpaka leo unaamini kuna corona?? Binafsi huwa naiona corona ni kama katuni kwenye tv unawaona mtaani huwaoni.
Ahahaha ile ngoma ilipiga kweli na wala haikuwa utani, ni vile tu haikuwa na madhara makubwa huku.
 
Wewe jamaa bna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
 
Well said.

Nje ya mada.

Kwa namna yoyote niko upande wa mrusi na kama ningepata chance ya kwenda kusaidia urusi ningeenda.
 
Wewe jamaa bna[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Mimi kwenye Hizi international Affirs najikita kwenye Facts kutokana na historia husika lakini tuliowengi tunafuata Mahaba TU.

Lakini naweza nisiwe sahihi make kwenye Vita lolote Lile linaweza kutokea.
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…