Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Nimeishi na mwanamke miaka 10 na bado naendelea kuishi nae, pembeni kama kijogoo nina michepuko kadha wa kadha.Siku ukiishi na Mwanamke ndio uje useme haya hapa
Hata WEWE ni mtoto kwa Mwanamke
Nasijutii kuishi na mwanamke wangu. Ukimchukulia mwanamke kama ni mtu mzima mwezako na mwenye akili sawa sawa hakuna rangi utaacha kuona na kamwe hamtakua na amani hatakidogo