Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Dawa ipi mkuu ..itaje tuko wengi...Nina dawa ya kienyeji ya kusukutua ambayo itaua backteria wote na kucha jino lako salama. usipende kung'oa meno kila mara kwani yakiisha utabaki kibogoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ipi mkuu ..itaje tuko wengi...Nina dawa ya kienyeji ya kusukutua ambayo itaua backteria wote na kucha jino lako salama. usipende kung'oa meno kila mara kwani yakiisha utabaki kibogoyo
Huu mkojo wa kawaida asukutue nao Miss???? [emoji15]Chukua hii.. Sukutua kwa mkojo wako 7 days, njoo nishukuru kwa kuwa mdudu anakufa na jino linabaki.
Hapo ni mabati ya ALAF tu ndo dawa
[emoji134][emoji134][emoji87],,,!Dawa ya jino kung'oa tuu,
Hii kauli ya dawa ya jino ni kungoa huwa hainiingii akilini hata kidogo. Kama dactari wa macho naye angesema dawa ya jicho ni kungoa? kama wa pua na koo naye angesema hivyo? kama wa kichwa angesema hivyo nini kingetokea? kama ni kungoa basi kuna haja gani ya dactari wa meno kusoma miaka saba? si kozi ya kungoa ingekuwa inatolewa VETA tuu kwa miezi miwili? lazima tufike sehemu tufikiri zaidi ya mazoea yetu na tufanye vitu viwezekanike kitaaluma. Kusema ni kungoa basi unaupa ubongo wako fursa ya kutokujishugulisha kutafuta au kujua kama kuna mbadala wa kile unachokifikiria.Dawa ya Jino ni kuziba au kung'oa ,Tafuta Daktari wa meno .Hata Muhimbili wapo wengi
Huenda ikawa ni mazoea na fikra tulizonazo,lkn km ipo dawa ya jino lililotoboka zaidi ya kulisafisha na kuliziba tufahamishane tafadhali[emoji50]Hii kauli ya dawa ya jino ni kungoa huwa hainiingii akilini hata kidogo. Kama dactari wa macho naye angesema dawa ya jicho ni kungoa? kama wa pua na koo naye angesema hivyo? kama wa kichwa angesema hivyo nini kingetokea? kama ni kungoa basi kuna haja gani ya dactari wa meno kusoma miaka saba? si kozi ya kungoa ingekuwa inatolewa VETA tuu kwa miezi miwili? lazima tufike sehemu tufikiri zaidi ya mazoea yetu na tufanye vitu viwezekanike kitaaluma. Kusema ni kungoa basi unaupa ubongo wako fursa ya kutokujishugulisha kutafuta au kujua kama kuna mbadala wa kile unachokifikiria.
Ule was asubuhiHuu mkojo wa kawaida asukutue nao Miss???? [emoji15]
Kama ni mlevi wa pombe kali huo mkojo hauwezi kua sumu?Ule was asubuhi