Jino limetoboka nisaidieni wadau

Jino limetoboka nisaidieni wadau

Nina dawa ya kienyeji ya kusukutua ambayo itaua backteria wote na kucha jino lako salama. usipende kung'oa meno kila mara kwani yakiisha utabaki kibogoyo
Dawa ipi mkuu ..itaje tuko wengi...
 
Inaitwa DFP (Dental Formula Power) ni dawa nzuri sana, inapatikana ubungo plaza. Multi kwenye benki benki. Ukijieleza kwa mlinzi atakuonyesha
 
Chukua hii.. Sukutua kwa mkojo wako 7 days, njoo nishukuru kwa kuwa mdudu anakufa na jino linabaki.
 
Chukua hii.. Sukutua kwa mkojo wako 7 days, njoo nishukuru kwa kuwa mdudu anakufa na jino linabaki.
 
Jamaa hana magego mawili kuna mapengo tu.... [emoji4] [emoji4] patia picha anatafuna nyama choma ya mbuzi...

Jomba piga mswaki vizuri... Huo ukungu mweupe wa ulimi ni wazi huwa unasukutua hupigi mswaki
 
Hapo ni mabati ya ALAF tu ndo dawa
[emoji134][emoji134][emoji87],,,!Dawa ya jino kung'oa tuu,
Dawa ya Jino ni kuziba au kung'oa ,Tafuta Daktari wa meno .Hata Muhimbili wapo wengi
Hii kauli ya dawa ya jino ni kungoa huwa hainiingii akilini hata kidogo. Kama dactari wa macho naye angesema dawa ya jicho ni kungoa? kama wa pua na koo naye angesema hivyo? kama wa kichwa angesema hivyo nini kingetokea? kama ni kungoa basi kuna haja gani ya dactari wa meno kusoma miaka saba? si kozi ya kungoa ingekuwa inatolewa VETA tuu kwa miezi miwili? lazima tufike sehemu tufikiri zaidi ya mazoea yetu na tufanye vitu viwezekanike kitaaluma. Kusema ni kungoa basi unaupa ubongo wako fursa ya kutokujishugulisha kutafuta au kujua kama kuna mbadala wa kile unachokifikiria.
 
Huenda ikawa ni mazoea na fikra tulizonazo,lkn km ipo dawa ya jino lililotoboka zaidi ya kulisafisha na kuliziba tufahamishane tafadhali[emoji50]
 
Ule was asubuhi
Kama ni mlevi wa pombe kali huo mkojo hauwezi kua sumu?

Maana mlevi kama vile wa Safari Lager, Zekiki, na Banana huo mkojo wao wa asubuhi ukipimwa maabara nahisi hauna tofauti na chemical aina ya HYDROCLORIC ACID.
 
Back
Top Bottom