kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
- Thread starter
- #41
Napokea Mkuu, Amina AminaSonga mbele kijana, ipo siku yako ya kufurahia matunda ya ajira,kujiajiri na uhusiano wenye furaha teleee!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napokea Mkuu, Amina AminaSonga mbele kijana, ipo siku yako ya kufurahia matunda ya ajira,kujiajiri na uhusiano wenye furaha teleee!!!
Asante sana mkuuMapenzi ni ufala, kwa gharama yoyote ile usikubali uwe mbali na mpz/mke/mume wako ,,,, mwanzo wa usaliti unaanzia hapo mwisho wa siku ananogewa, unaundiwa zengwe mnaachana ! Pole utampata wa kufanana nae
Nilishakubali mkuu now napambana kivyangu vyangu namshukuru Mungu ya kula sikosi japo bado jua la utosi linanitandika vibaya mnoHongera mkuu kwa kukubali kuwa sio wako tena
Umaskini mbaya mkuu pambanaNDIO HIVO MKUU NADHANI KAMPENDEA HUYO MSHIKAJI MASLAHI
Amina mzeeDuuh kaza moyo tu mzee
Sana kakaUmaskini mbaya mkuu pambana
Kwahyo fauzia alipata ajira,akapata mume na watoto juu dah hakika wanawake ni noma 😂😂😂😂Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia.
Katika harakati zangu za ugonga ulimbo baada ya kugraduate mimi na kipenzi changu "Fauzia" jina la uficho (comouflage)tulikuwa na mipango mingi sana.
Siku zote niliamini nitamuoa fauzia ukizingatia alikuwa binti fulani aliyefunzwa akafunzika.Japo tuliishi mbali mbali ila wote tulitokea mkoa mmoja hivo yeye alipomaliza tukasema tupambane hapa hapa mjini kutimiza malengo yetu kwa pamoja.
Mimi nikafanikiwa kujishikiza kwenye kazi ya mgahawa mjini kati ambapo nilikuwa nalipwa kitita cha laki moja mkononi.Fauzia wangu nae si haba akawa anajishughulisha na shughuli ya kupika misosi pale getho kisha kwenda kuiuza kwenye vijiwe vya boda na wakati mimi nikiwa na free time nilikuwa namsaidia hakika nilimpenda sana na niliamini ananipenda sana.
Basi nakumbuka 2020 mwezi january ndipo magamba yetu ya vyuo yalitoka baada ya kuhitimu november 2019 yeye alikuwa kozi X na mimi nilikuw kozi Y.
Hivo wakati tunaendelea na harakati za ugonga ulimbo tulikuwa tukipitia mara kwa mara website ya ajiira portal huku nikijaribu kumpa mwongozo wa kuomba ajira ukizingatia nilikuwa vizuri kiasi kwenye masuala ya mtandao yeye hakuwahi kuwa mwanamitandao kabisa.
Basi alikuwa akiitwa interview aiienda kwenye usahili nyingi alikuwa hafanikiwi nikawa namtia sana moyo nakumbuka hadi tushawahi funga kwa maombi jumapili moja ili akafanye vzuri interview yake siku ya jumatatu.
Mimi sikuwa naitwa sana kwa interview kutokana na kozi yangu kuwa nadra sana kutangazwa ajira, Niliishi nikiamini jambo la fauzia ni jambo letu sote kumbe ulikuwa UTOTO
Mungu sio Dotto Magari asee kuna siku kama zari nikiwa napitia pdf za placement nikakutana na jina la dear ex wangu fauzia asee nilifurahia sana sana nilipofika home nikampa habari hizo nae aliruka ruka kwa furaha kisha tukakumbatiana na kuugeuza usiku ule kuwa usiku wa twanga pepeta kufurahia mafanikio hayo.
Lakini nikamshauri pia fauzia katika yale mapato ya mama ntilie tusiache kutoa sadaka ya shukrani kwa jambo lile hivo tukaenda kusalimia kituo kimoja cha watoto yatima.
As a man niliwish na mimi walau ningepata kazi nikawa nimepoa kiasi fauzia akawa amenisoma akawa ananipiga piga kifuani kuwa nisiogope ipo siku nami nitapata nikafarijika sana.
Basi bhana michakato ya kuripoti kazini ikaanza hapo ndipo ajira portal ilimpeperusha njiwa wangu,Nakumbuka nilimsindikiza hadi rose migiro kwa boda ya rafiki yangu kuchukua barua yake ya kuripoti kazini siku chache zijazo.
Alikuwa kapangiwa mkoa X mbali kiasi na nilipokuwepo nikamsupport kiuanaume michakato yote ya safari ikiwemo kumkatia tiketi na kumsindikiza hadi kituoni kwake kwa kazi kuhakikisha kapolewa vema kisha nikarudi zangu kuendelea na harakati za ugonga ulimbo maana fauzia alinambia nijipe muda kiasi then atakuwa ananitembelea au laa niwe namtembelea.
Hapo ndipo mauza uza yalianza mwanzo fauzia alikuwa ni mtu wa kunitafuta kila akirudi kazini baada ya miezi miwili hiyo ikafa nikawa nikituma meseji najibiwa niko kwa kikao siku zilivoenda nikawa sijibiwi kabisa, Nikimpigia fauzia ananijibu kiufupi sana baadae akaacha kabisa kunijibu roho wa bwana akanena nami kuwa hapo parapanda ishalia maana kuna siku alinambia ukweli kuwa niache kumsumbua yupo na mume wake
Fauzia kwa sasa ana watoto wawili na kaoelewa na bwana mwenye mipesa mimi bado nipo na harakati zangu za ugonga ulimbo huku nikimngojea bwana maana na mimi kwa mara ya kwanza nimefanikiwa kuingia oral ajira portal.
Nilichojifunza Wanawake Ni Opportunist, Asante Yesu Sikujinyonga Nakesha Kuendesha Boda kama mpumbavu.
Kaka wenzetu hawajuagi thamani ya wema ni watu wa fursaKwahyo fauzia alipata ajira,akapata mume na watoto juu dah hakika wanawake ni noma 😂😂😂😂
Ukiweza safari hii piga mimba kbsaaaKaka wenzetu hawajuagi thamani ya wema ni watu wa fursa
Hilo ndio jambo la msingi sanaUkiweza safari hii piga mimba kbsaaa
Ni maajabu kwa kweli
Pole mkuu wanawake wanakuw na wew kwakuw hakuna mwingne zaid yako , sasa apo alitokea mwamba mwenye credibilit kulko wew yeye haku consider past ,Wagonga ulimbo tunapitia mengi sana maisha yanakuchapa, mapenzi yanakupiga za uso, familia inakutenga, marafiki wanakukimbia.