Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
Makusanyo haya hayataathiri mwanachi bali ni kumnufaisha kwa kuchagua njia anayotaka kutumia na kuongeza kasi kwenye miradi ya maendeleo.
Sehemu ambazo barabara ya mwendo kasi inapatikana
Kivukoni,Kimara,Mbezi,Kibaha,Kariakoo(Gerezani) ambapo ndio kituo kikuu na Mbagala japo iko mbioni kukamilika.
Barabara hizi zimerahisisha kwenye swala la usafiri katika maeneo tajwa. Barabara hizi zinaruhusiwa kupita magari yake na ya viongozi na magari ya dharura.
Wakati barabara za kawaida zimejaa foleni unakuta mwendo kasi haina hata gari moja.
Serikali inaweza kuanzisha vibali maalum kwa magari ambayo yatapita kwenye barabara ya mwendo kasi. Kibali hicho kiwe kinalipiwa.
Labda vibali vitofautiane kwa aina ya magari na upya wake.
Mfano gari za mikoani, gari za wanafunzi n.k
Kibali cha kupita kwa gari binafsi na daladala kiwe juu ili kutoa nafasi kwa magari machache tu na kuwepo na vigezo vya kupata hicho kibali.
Kwanini hii itaipa serikali mapato? Kwa sababu kuna watu wengi wanawahi lakini sababu ya msongamano kwenye barabara za kawaida unakuta anachelewa.
Mchanganuo
Mabasi ya mikoani kibali 100,000 kwa mwaka kwa siku 1000
Magari binafsi 350,000 kwa mwaka kwa siku 1500
Dalala zilizokidhi vigezo 1,000,000 kwa mwaka kwa siku 3000 au kila ruti ni 300.
Kila mtu alipe awezavyo labda kila siku au kila ruti au kwa mwaka
Kwa mwaka ukipiga hesabu kuna kaunafuu ili kushawishi watu kulipia kwa mwaka.
Kwa njia hii serikali itavuna mapato mengi sana ambayo hayatamwathiri mtumiaji yeyote wa usafiri na badala yake itarahisisha pia.
Kwa upande wa daladala mabosi kwa kushirikiana na Latra wanaweza kupiga hesabu zao na kukokotoa nauli.
Mfano nauli ya kawaida toka Kariakoo kwenda Mbagala ni 500 ila gari ikipita kwenye mwendo kasi nauli ni 800
Kwa njia hii kila upande ungepata faida
Ili kutokuathiri biashara ya mabasi ya mwendo kasi yenye nauli iwe chini kuliko za daladala zitakazopita kwenye njia yao, yaani kama kutoka Kkoo mpaka Mbagala nauli iwe 600 tu mwanachi aamue apande lipi.
Asanteni

Upvote
0