figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne
Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.
Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Isman kwa miaka 30?
Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.
Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbasharaš¤£š¤£
Barabara wanachonga usiku na mchana ila wamegonga mwamba