Jinsi Barabara za jimbo la Isimani zilivyo mbovu, sidhani Samia kama ataenda kumzika Wiliam Lukuvi🤣🤣

Jinsi Barabara za jimbo la Isimani zilivyo mbovu, sidhani Samia kama ataenda kumzika Wiliam Lukuvi🤣🤣

Ismani ipi unaongelea? Kuna kipande Gani Cha barabara angalau kimejengwa kwa Lami kwa jimbo Zima? au unahesabia barabara kuu ya Iringa Dodoma?
Achana naye.. Kashapewa posho aje kidanganya wana JF.. Eti gentleman 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne

Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.

Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Isman kwa miaka 30?

Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.

Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣

Barabara wanachonga usiku na mchana ila wamegonga mwamba
Wako busy kujilundikllia Mali badala ya kuwatumikia raia!
Kitakachofanyika? Ghafla grader litapita fasta, na umeme na maji kupatikana!
Raia wasiwe washamba kukaa barabarani, wanaweza kupigwa makofi, kukanyagwa na magari yao ya kifahari yaendayo kasi kuliko ambulance!
Wananchi waende msibani ila watakaa nyuma kabisa ili mafisadi wenzake wawe mbele kumsifia kuwa marehemu kama mbunge wao aliwatumikia raia kwa hali na mali!
Baadaye wataondoka kwa mikogo kama waliokuja nayo na hali itarudia kama zamani, yaani miundo mbinu mibovu, huduma za afya mbovu nk nk. Huku mifisadi wakirudi Dodoma kuendelea kuwaibia raia!
 
Sasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne

Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.

Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Isman kwa miaka 30?

Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.

Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣

Barabara wanachonga usiku na mchana ila wamegonga mwamba
Barabara zimeoza mkuu..
Ni aibu
Nasikia anakuja Nchemba...
 
Back
Top Bottom