figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Tupo tunachonga yangu siku ya msibaSasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne
Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.
Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Ismani?
Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.
Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣
jiepushe na porojo na uzushi nonsense gentlemanSasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne
Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.
Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Ismani?
Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.
Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣
Ni jambo jema kama katika mauti yake angalau amekuwa na faida kwa WanaIsimaniItachongwa usiku na mchana mpaka siku ya mazishi mambo ni mukide!
jiepushe na porojo na uzushi nonsense gentleman
Gentleman,Gentleman unataka watu wawe wanaonga kitu gani?
Kila kitu to you ni uzushi na porojo
Au tuseme ccm na serikali yake ndio bora dunia mzima kwa kuleta miundombinu bora, ongezeko la mishahara, hospital kila mtaa au sio, hapo vipi
Mbona niliona kuwa mwigulu ndo ataongoza mazishiSasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne
Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.
Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Ismani?
Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.
Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣
Ismani ipi unaongelea? Kuna kipande Gani Cha barabara angalau kimejengwa kwa Lami kwa jimbo Zima? au unahesabia barabara kuu ya Iringa Dodoma?Gentleman,
Isimani ni miongoni mwa majimbo katika mkoa wa Iringa lenye miundombinu na huduma bora zaidi za afya, elimu, maji, umeme, barabara n.k,
Hayati Lukuvi amefanya kazi kubwa na nzuri sana ya maendeleo katika jimbo la Isimani licha ya ongezeko kubwa zaidi la watu kwa kila mwaka.
Si kweli kwamba Isimani kuna barabara mbovu kama mtoa porojo anavyojaribu kupotosha wadau wa JF.
si lazima rais kwenda Iringa kwenye mazishi.
Mi nashangaaga kweliItachongwa usiku na mchana mpaka siku ya mazishi mambo ni mukide!
unahitaji barabara nzuri na bora zinazopitika wakati wote katika mwaka au unataka porojo na ufahari useless?Ismani ipi unaongelea? Kuna kipande Gani Cha barabara angalau kimejengwa kwa Lami kwa jimbo Zima? au unahesabia barabara kuu ya Iringa Dodoma?
Aligawa Ulanzi tuSasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne
Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM.
Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Ismani?
Bora kafa ili dunia ikashuhudua Viongozi wetu wqnaodaiwa ni mfano wa kuogwa, wanavyo wasaliti wananchi walio Wachagua.
Wamenigomea kwenda.. Ningewaletea picha mbashara🤣🤣
Poor you!Kwa hiyo mlitaka Lukuvi ajipendelee kwenye Jimbo
Lake miradi ingekua mingi napo kelele watanzania mmekuaje?