Jinsi Barabara za jimbo la Isimani zilivyo mbovu, sidhani Samia kama ataenda kumzika Wiliam Lukuvi🤣🤣

Ismani ipi unaongelea? Kuna kipande Gani Cha barabara angalau kimejengwa kwa Lami kwa jimbo Zima? au unahesabia barabara kuu ya Iringa Dodoma?
Achana naye.. Kashapewa posho aje kidanganya wana JF.. Eti gentleman 🤣🤣🤣🤣
 
Wako busy kujilundikllia Mali badala ya kuwatumikia raia!
Kitakachofanyika? Ghafla grader litapita fasta, na umeme na maji kupatikana!
Raia wasiwe washamba kukaa barabarani, wanaweza kupigwa makofi, kukanyagwa na magari yao ya kifahari yaendayo kasi kuliko ambulance!
Wananchi waende msibani ila watakaa nyuma kabisa ili mafisadi wenzake wawe mbele kumsifia kuwa marehemu kama mbunge wao aliwatumikia raia kwa hali na mali!
Baadaye wataondoka kwa mikogo kama waliokuja nayo na hali itarudia kama zamani, yaani miundo mbinu mibovu, huduma za afya mbovu nk nk. Huku mifisadi wakirudi Dodoma kuendelea kuwaibia raia!
 
Barabara zimeoza mkuu..
Ni aibu
Nasikia anakuja Nchemba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…