REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Itakumbukwa weeks mbili uhuru aliropoka kwenye mkutano wake na wananchi kwamba hataki kuona samaki ya China ikikatiza mpaka wa Kenya na amri hiyo ianze immediately.
Baada ya Beijing kupata ujumbe wake ndani ya wiki jana walimtumia uhuru karipio kali kwamba aache kabisa kujifanyia maamuzi yake binafsi bila kuihusisha Beijing Kwani kwa kufanya hivyo ni kujitakia matatizo makubwa ya hiari.
Bahati nzuri uhuru kama anavyosifiwa kila uchwao hapa amekua mnyenyekevu na msikivu kwa mabwana wa kubwa huko Beijing na tayari amefanyia utelekezaji amri kutoka mamlaka ya juu Beijing
why Government Suspended Ban on Chinese Fish?
sakshi 02/11/201802/11/2018 Politics Chinese Fish, Kenya Government
Kenya on Thursday temporarily suspended the ban imposed on importing Chinese fish.
The Acting Director General of the Kenya Fisheries Service Susan Imende stated that the ban that was set to take effect in January 2019, was temporarily put on hold as the government sought a way forward on the matter.
“This is to inform you that the same has been put on stay.
Why Government Suspended Ban on Chinese Fish? – Daily Active Kenya
My take : namuomba uhuru aache mara moja kutaka kua kama JPM, yeye anamuona JPM anavyozuia mchanga wa madini ya company za kina Bush na mabepari wakubwa na maamuzi mengine tata na hakuna kima anaemuambia kitu a nafikiri ni kitu kila anaeitwa Rais wa nchi Anaweza kufanya? Noooo
Nchi ikishakua na stakeholders kama Kenya kuna maamuzi mengine lazima uwahusishe wakubwa wenye nchi japo unaitwa Rais wa Kenya, sasa uhuru umebana tu sangara umepata karipio kali ingekua madini ingekuaje?
Inshort Kenya is already an administrative Chinese Republic