Jinsi Beijing ilivyomfanya uhuru kua ndogo kama piriton

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Itakumbukwa weeks mbili uhuru aliropoka kwenye mkutano wake na wananchi kwamba hataki kuona samaki ya China ikikatiza mpaka wa Kenya na amri hiyo ianze immediately.

Baada ya Beijing kupata ujumbe wake ndani ya wiki jana walimtumia uhuru karipio kali kwamba aache kabisa kujifanyia maamuzi yake binafsi bila kuihusisha Beijing Kwani kwa kufanya hivyo ni kujitakia matatizo makubwa ya hiari.

Bahati nzuri uhuru kama anavyosifiwa kila uchwao hapa amekua mnyenyekevu na msikivu kwa mabwana wa kubwa huko Beijing na tayari amefanyia utelekezaji amri kutoka mamlaka ya juu Beijing

why Government Suspended Ban on Chinese Fish?
sakshi 02/11/201802/11/2018 Politics Chinese Fish, Kenya Government
Kenya on Thursday temporarily suspended the ban imposed on importing Chinese fish.

The Acting Director General of the Kenya Fisheries Service Susan Imende stated that the ban that was set to take effect in January 2019, was temporarily put on hold as the government sought a way forward on the matter.

“This is to inform you that the same has been put on stay.

Why Government Suspended Ban on Chinese Fish? – Daily Active Kenya

My take : namuomba uhuru aache mara moja kutaka kua kama JPM, yeye anamuona JPM anavyozuia mchanga wa madini ya company za kina Bush na mabepari wakubwa na maamuzi mengine tata na hakuna kima anaemuambia kitu a nafikiri ni kitu kila anaeitwa Rais wa nchi Anaweza kufanya? Noooo

Nchi ikishakua na stakeholders kama Kenya kuna maamuzi mengine lazima uwahusishe wakubwa wenye nchi japo unaitwa Rais wa Kenya, sasa uhuru umebana tu sangara umepata karipio kali ingekua madini ingekuaje?

Inshort Kenya is already an administrative Chinese Republic
 
Uhuru kaufyata! Halafu inaonekana alikuwa amelewa! Hivi ndo wanafanyia Bakhresa na cooking gas companies from Tanzania!
 
Loosing control on mombasa port na sgr italeta ushindani mbaya sana East na Central Africa. Tunaomba iwe ni agenda ya mabunge ya East Africa community under customs union. Hawa ndugu zetu wamekuwa na tamaa mno na uchoyo wa kupata kila kitu. It will spill over.
 
Eti Mnatarajia Mzee Museveni ajiingize kwenye dili kama hizi? M7 aitikie ku import vinyesi na mikojo vya macho kengeza ili wa uganda wapate SGR? Afadhali akae na meter gauge yake inayofanya kazi
 
Watz ni mdomo tu zero action. Tunajua mnajua Tz ni LDC na mkitaka heshima from us Kenyans, kwanza mjikwamue kati ya wenzenu kina Somalia na Burundi.
 
Jifarij tu kenya ni maskn/choo cha mchina *home of Monkeys* mnatia huruma....Hahahaha
 
Wacheni maneno nyie watz,tumeanza direct flight to NY uchumi utakuwa sana.
 
Hiyo Direct flight unazani USA hawakuiona fursa? Jengeni uwezo wa kufanya biashara na muwe na middle income ya watu wa kutosha ndo mwenye huko USA.
 
Back
Top Bottom