Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Simulizi inakuboa na huipendi achana nayo kwani umelazimishwa kuisoma.
 
Ondoka kama unaboa mbona simple tu.. watu kama nyinyi ingekua tunaonana ni kupigwa makofi tu
 
20 na 21 ni prisca tu. Ingetosha kuwa episode moja ya 20 kumalizana na prisca kukubali kuwa mchepuko. 21 ingekuwa iryn.
 
Muache atoe mawazo yake. Kuwa na pande mbili za mtazamo hasi na chanya ni afya pia kwa mwandishi.
Kwani umelazimishwa kuifiatilia? Si uachane nayo? Yanini kuonyesha makasiriko Yako humu??
 
Hahaha...

Kuna mwamba kaitwa chumbani, kitu pekee mtunzi wa stori hii kashindwa kutuwekea ni sauti ya Iryn ikiwa inaita...


Hapo amekuachia uendelee na imagination. Acha tusubirie kama atavuka kihunzi. Najua story ndio inaanza kugusa maeneo yako pendwa.
 
Acha kusoma tuachie tunaoipenda
 
Una visirani mrembo wang
 
Software yko ilê ushapata mteja kwani [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…