Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kama huipendi kwa nini unaisoma,?
 
Kwani wewe uliwahi toa story gan hapa? Kaa kushoto.. umelazimishwa kusoma? Fanya yako achana na sis... pita ivi[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]unajifamya Unajua sana wewe mdada
Unajua inaudh sana.. mtu ajaombwa alete story kajitolea tu.. hajalazimisha mtu kusoma... hii story sio chakula ukiona huiwez iache kimya kimya.. usimpangie Insider cha kuandika
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unahasira kama umesaidia kuandika ni mtazamo wangu kwani kapigwa ban mie niandike story msome nani anamuda huo
 
@Mpwayungu Village ndio alipitiwa na upepo wa hawa jamaa
 
Hasira zako za ugumu wa maisha unataka uzimalizie humu...?

Yaani hapa story mmepewa bure mambo ni haya mngeuziwa je...? Punguzeni ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…