Bado Greziman...hii inaitwa mtu 3 ndani ya track moja. ( Insider man, Muajemi na Greziman).Muajemi hapati kitu
Hapo Muajemi atakuwa Babu jinga Mali zako zaliwa.
Ilimbidi jamaa achague pesa au mbususu, jamaa kachagua pesa.Dah Bonge moja la story!
Uber Driver chukua maua yako ππ
Ila brother kwenye kula kimasihira umetulet down.
Au kuna tatizo ndugu????
Prisca ningetafuna episode 1
Iryn ningetafuna episode 2
Mary ningetafuna episode 3
Maggy ningetafuna episode 4
Mama Wa2 ningetafuna episode 5
Mbotswana ningetafuna episode 6
Jiran wa Iryn ningetafuna episode 7
Yule dada Msimamizi dodoma ningetafuna episode 8
Hawa wote walikuachia white wazi π€£π€£π€£
Shamba sana [emoji23][emoji23] kwanz alitakiwa atembee na Condom maana silaha vitani ni muhim.Nimegundua huo mtalimbo wako ni doro!
Unaiachaje pisi kali!,ya kishua, kama prisca!
Then demu kajaa mwenyewe!? Una mushkeli wewe si bure, nimekuvua vyeo!....
Story imekosa ladha ile niliyokwisha ijenga kichwani kwangu na kumaliza kabla hujasimulia,....nikitarajia ufike pale nilipokwisha jenga picha yangu kichwani.
Umetuaibisha mashababi!
Bado upo kifungoni au umeachiwa? Lete fyoko nikupige ban mpaka od hii.Kama ungemkaza Iryn, alafu ndio akaja kugundua uko na familia, ungekosa penzi na ungekosa pesa. Nafuu ulivyoamua kuacha mbususu ikupite, ila upate maokoto!
Maana kama ungekua unakula Iryn, hata maokoto ya Muajemi yangekupita.
No regrets mzee, mbususu zipo tu. Alafu kwa akili za kibaharia, sitashangaa kama siku moja Iryn akitafunwa baada ya kuachana na Uber na kutegemea deals zake!
Hawa viumbe ukishajua password yao, basi hawasumbui kabisa!
Katuangusha kweli kwenye sekta hyo mkuu INSIDER MAN, alikua anawaza sana kuwala [emoji53]Dah Bonge moja la story!
Uber Driver chukua maua yako [emoji119][emoji119]
Ila brother kwenye kula kimasihira umetulet down.
Au kuna tatizo ndugu????
Prisca ningetafuna episode 1
Iryn ningetafuna episode 2
Mary ningetafuna episode 3
Maggy ningetafuna episode 4
Mama Wa2 ningetafuna episode 5
Mbotswana ningetafuna episode 6
Jiran wa Iryn ningetafuna episode 7
Yule dada Msimamizi dodoma ningetafuna episode 8
Hawa wote walikuachia white wazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nukta zako hzi haziishi
Mmeanza genye π³π³π³Hadithi ya fix.
Kinakuwasha sasaHadithi ya fix.
Wew X tuHadithi ya fix.
Hiki kipande kitaendelea tu mkuu, pale iliandikwa dibaji tu π, muda si mrefu chapter 1 itaanza...
Mungu ni mwema mkuu, natumai upo fresh pia...
Kijana wa Msamvu, bado uko na jeuri ya kuniprovoke? Niko naangalia ile picha yako ya ufukweni. Sura chachu ka ukwaju!Bado upo kifungoni au umeachiwa? Lete fyoko nikupige ban mpaka od hii.