Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Muajemi hapati kitu
Hapo Muajemi atakuwa Babu jinga Mali zako zaliwa.
Bado Greziman...hii inaitwa mtu 3 ndani ya track moja. ( Insider man, Muajemi na Greziman).

Wote wanataka mpelekea moto Iryn...Grez keshakaa kitambo...

Insider na njaa inamsumbua ataachia mzigo tu au atakuwa mshika pembe tu...keshapewa mate basi ameridhika na ameshapewa ajira atakuwa anaogopa hata kumshika kiuno boss wake Iryn.
 
Dah Bonge moja la story!
Uber Driver chukua maua yako 🙌🙌

Ila brother kwenye kula kimasihira umetulet down.
Au kuna tatizo ndugu????

Prisca ningetafuna episode 1
Iryn ningetafuna episode 2
Mary ningetafuna episode 3
Maggy ningetafuna episode 4
Mama Wa2 ningetafuna episode 5
Mbotswana ningetafuna episode 6
Jiran wa Iryn ningetafuna episode 7
Yule dada Msimamizi dodoma ningetafuna episode 8

Hawa wote walikuachia white wazi 🤣🤣🤣
Ilimbidi jamaa achague pesa au mbususu, jamaa kachagua pesa.

Kadri story inavyoendelea jamaa anaendelea kupoteza wateja kisa mbususu.
 
Nimegundua huo mtalimbo wako ni doro!

Unaiachaje pisi kali!,ya kishua, kama prisca!

Then demu kajaa mwenyewe!? Una mushkeli wewe si bure, nimekuvua vyeo!....

Story imekosa ladha ile niliyokwisha ijenga kichwani kwangu na kumaliza kabla hujasimulia,....nikitarajia ufike pale nilipokwisha jenga picha yangu kichwani.

Umetuaibisha mashababi!
Shamba sana [emoji23][emoji23] kwanz alitakiwa atembee na Condom maana silaha vitani ni muhim.
 
Kama ungemkaza Iryn, alafu ndio akaja kugundua uko na familia, ungekosa penzi na ungekosa pesa. Nafuu ulivyoamua kuacha mbususu ikupite, ila upate maokoto!

Maana kama ungekua unakula Iryn, hata maokoto ya Muajemi yangekupita.

No regrets mzee, mbususu zipo tu. Alafu kwa akili za kibaharia, sitashangaa kama siku moja Iryn akitafunwa baada ya kuachana na Uber na kutegemea deals zake!

Hawa viumbe ukishajua password yao, basi hawasumbui kabisa!
 
Bado upo kifungoni au umeachiwa? Lete fyoko nikupige ban mpaka od hii.
 
Dah Bonge moja la story!
Uber Driver chukua maua yako [emoji119][emoji119]

Ila brother kwenye kula kimasihira umetulet down.
Au kuna tatizo ndugu????

Prisca ningetafuna episode 1
Iryn ningetafuna episode 2
Mary ningetafuna episode 3
Maggy ningetafuna episode 4
Mama Wa2 ningetafuna episode 5
Mbotswana ningetafuna episode 6
Jiran wa Iryn ningetafuna episode 7
Yule dada Msimamizi dodoma ningetafuna episode 8

Hawa wote walikuachia white wazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katuangusha kweli kwenye sekta hyo mkuu INSIDER MAN, alikua anawaza sana kuwala [emoji53]
 
Back
Top Bottom