Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

M
Ilimbidi jamaa achague pesa au mbususu, jamaa kachagua pesa.

Kadri story inavyoendelea jamaa anaendelea kupoteza wateja kisa mbususu.
Umeambiwa uber kipindi hicho inazingua bado unapata dili la million 2 per month nje ya kazi(+Zile za kina aggy na mama wawili) unasema anapoteza wateja eboh
 
Aiseee
 
Wewe ndo unachanganya mkuu, japo yaweza kuwa ni story ya kutunga nadhani una kausahaulifu kidogo au haufuatilii vizuri matukio: kuhusu 5M ni kwamba muajemi mwanzo alikuwa amemuahidi 3M na endapo jamaa angeifanya kazi vizuri angeweza kupanda dau zaidi ndio maana unaona alitoa hiyo 5M ikiwa na ongezeko la 2M tofauti na alivyomuahidi hapo kabla.

Kuhusu mtu kulipwa 45M per month, unaweza usiamini hasa ukiwa umezoea kupata hivi vimshahara vyetu vya serikali kuu ambavyo unafanya kazi kubwa kweli kweli tena ukienda kazini kwa usafiri wa umma umelipa Tsh500/= nenda irudi 1000/= ila kwa makampuni binafsi hiyo ni pesa ya kawaida tena ukute mtu mwenye cheo kikubwa na mzoefu wa muda mrefu ambazo nyuma yake kuna udhamini wa watu weupe, sio jambo la kushangaa.
 
Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwa
Sema anatakiwa kuwa na consistency maana navyoona kadri story inavyozidi kwenda mbali kuna mahali anajichanganya yaani kuna mahali alikuwa anamuongelea Mary lakini anaonekana kumshusha getini Prisca. Kwa kifupi mwamba anupiga mwingi na hata kama yaweza kuwa fiction. Nimeipenda na tangu juzi nilivyoiona bado nakomaa nayo.
 
Story ni ya kweli, ila hakunaga chakula bila viungo vya madoido. Hii huongeza ladha.

Kuna sehemu anatupiga kamba, ila walau sehemu kubwa ya story ina uhalisia.

Tafadhalini tusimkatishe msimuliaji..
Hata mimi nimeliona hilo pia, kwa mfano kuhusu Iryn kutokuwa na gari alisema hapendelei sana kuwa na gari lakini alipewa pesa na mfaransa anunue gari na tayari akampanga Insider man aigize kama dereva wake ambae pia alikuwa anamlipa kila mwezi, naona kisa kimeshindwa kuweka wazi kama mfaransa ndo aina ya gari alilokuwa amekubaliana na Iryn. Pia hakuweza kubainisha kwamba ni kwa nini Iryn aliishi kwenye apartment na sio home kwao ukizingatia ukwasi wa marehemu mama yake aliokuwepo nao.
 
M

Umeambiwa uber kipindi hicho inazingua bado unapata dili la million 2 per month nje ya kazi(+Zile za kina aggy na mama wawili) unasema anapoteza wateja eboh
Punguza kuwaza kwa kutumia hisia kama mwanamke mkuu.

Umeona niliyemquote alisemaje?? Au umekurupuka tu kujibu?
 
Muhimu sana katka hii episode ya 30

Wale wenye vipato vya kati ,wastani ,juu Zaid jitahidini sana Sana mtoe sadaka hasa kwenye haya makundi ya watoto yatima Kuna baraka nyingi Sana mtazizoa mbeleni " Kuna baraka ambAzo kwa kikawaida uziona Ila mbeleni utapiga sna hatu kubwa kimaisha ikiwa unajali haya makundi muhimu

Otherwise insider Mani Ni MBUZIII TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…