fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,526
- 10,192
Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.23:00