Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa heshima na taadhima, Watu8 naomba usogee meza kuu ratiba yetu inaonyesha Sasa jambo lililotuleta hapa litachukua mkondo wake muda SI mrefu.

INSIDER MAN samahani Mkuu, Verde siku hizi wameanza kuuza pombe? Wana Bar ya vinywaji vikali?

IMG20230819094114.jpg


Na hii ni Kilimanjaro 7 Leo.
 
Hahaha...

Mkuu nilikuwa lindo usiku hivyo mkeka ulivyowekwa tu mida ya saa5 hapo nikaruka nao...

Sema Muajemi anataka kukimwagia mchanga kitumbua tena...
Kwa vyovyote hatajua kwa kuwa anajua INSIDER MAN atakuwa na mzungu hivyo hataingia. Just predicting[emoji1787]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom