Chagueni niwapostie leo au kesho??
Huyu mshikaji alitoka na kitu. *Wh I met my wife ni yupi kati ya hawa?. Yuko vizuri sana nae. Na huyu kijana wa buguruni nae yuko vizuri sana pia.
Na huyu readermore ni ipi story yake mkuu?
[emoji3][emoji3]Tuishi humu masela, sidhani kama kuna mwendelezo leo. Tukalale kesho tuwai
Church kuombea bandari yetu
[emoji23]Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu INSIDER MAN nina ombi moja kwa niaba ya wadau wengi humu ndani. Ikifika siku ya kuandika episode uliyomla Iryn tunaomba utulize kichwa haswaa na uiandike kwa kina sana kama zile story za kwa rikiboy . Isitoshe episode nzima uongelee tukio hilo tu achana na akina mama mag,mama wawili,prisca, mary, mama j,mzee pamoja na request za uber,komaa na Iryn mwanzo mwisho ili tujue kama uzuri umeenda hadi ndani pia.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe tuko wengiManchester tumefungwa nikajuwa Nikija huku nitapunguza stress Nako hola ngoja nilale mie [emoji3064][emoji22][emoji17][emoji174]
Hapo masjid maatar. Naukubal sana huo.nilikua sometimes natoka ramp nakuja kulala hapo kipind cha taraweeeTulale au unarudi Kaka?
unavotaja terminal 2 unanikumbusha huo msikiti hapo stand ya airport.
Nimefanya Ibada Sana hapo kuliko msikit wowote Dar
Umeruka mzeeKuna namna kama insider hajaongelea alivyo rudi akamkuta lyr. Home inawaje...
Au mimi ndio naruka ruka