Hiith
JF-Expert Member
- Jul 3, 2023
- 286
- 491
Huu ulevi sio mzuri😀😀😀mpaka sasa mambo ni 00
Huu ulevi sio mzuri😀😀😀mpaka sasa mambo ni 00
Yaan tumeshakuwa sungu sungu😀😀Leo hola wacha niende zangu kijiweni
Cuzo nimefurahi the way ulivyojibu +ve bila kuweka makandokando,salute kwakoBasi tu ntafurahii na nafsi yangu.. wakikulana hakuna cha mimi kufaidika zaidi ya kujifunza!!
Urafiki/ mahusiano ni two way trafic kupokea na kutoa pia! Sio kutoa mbususu lakini !
Wewe ndio unarukarukaKuna namna kama insider hajaongelea alivyo rudi akamkuta lyr. Home inawaje...
Au mimi ndio naruka ruka
😂Nafuatilia kwa ukaribu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimekuja niamke nayo kumbe bila bila[emoji3][emoji3]
Ngoja niendelee kuuchapa single miee huku wenzangu wanaamka na cha asubuhi[emoji2][emoji2]
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Chura anarukaruka ChuraaWewe ndio unarukaruka
Japo mi ni sehemu ya wala magimbi ila kulingana na sehemu nilizopitia katika harakati za maisha nakubalianana wewe huu mji raia wanatumia pesa inafikia kipindi mtu anatumia vibunda vyake wewe ndio unaumiaJf imekua na majitu mengi ya hovyo sana, majitu vijana hayana Exposure, mashambashamba yametoka makwao huko umasikini umegandana na ngozi sasa yanadhani ulimwengu ni sawa na kule swekeni kwao. Hapa Tz kuna vijana wadogo wana pesa mingi, wanatumia na haziishi kabisa. Kuna watu wanaingia maksino huko wanamwaga milion 20 na zinaliwa na anaondoka anaenda mahala kula maisha na kesho tena anaenda. Kuna hoteli hapa mjini chumba milion na nusu na kila siku vimejaa, na hawashangai sasa mtu ushazoea kula magimbi kwenu mashambani huko unadhani dunia nzima kama kwenu. Alaf unajitutumua kueleza na kukataa vitu ambavyo huvijui. Ushamba mzigo