Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Oyaaaaa...mnazingua mnaleta mabishano yasiyo ya msingi mnachelewesha muendelezo wa stori,sasa ikiwa ni kweli au uongo bado story ina matokeo chanya kwa maana inakufungua ubongo kufikiri kwa namna ya kujenga,kujiongeza thamani n.k.

Kama mtu unejikatia tamaa kwenye maisha yako usisambaze sumu kwa watu wengine,pambana na hali yako.
Ubongo mpaka ufunguliwe na mtu.
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
UJUE WEWE NIMPUMBAVU SANA UNAHOJI UPUMBAVU USHAPEWA FACT BADO HUAMINI UNATAKA UINGIZIWE TANGO KWENYE KINYEO NDIO UAMINI? MAISHA YAKO YATABU UNADHANI NIWATU WOTE? ACHA KUHOJI UPUMBAVU WAKO, WE KAMA UNAMAISHA MAGUMU ACHA KUWEKA MASWALI KICHWANI HUNA PESA REALAX, MJINI MIPANGO, SASA IRYN HATA KAMA ALIBAGAIN UNATAKA KWA KUWA ANAPESA BASI AWE ANAMWAGA TUU PESA HOVYO SABABU ANAHELA, KINA MO WANABAIN IJEKUWA IRYN? MPUMBAVU KABISA WEWE. ACHA UJINGA. JIPINGE KIFUA CHUKUA KIDOLE CHAKO CHA KATI INGIZA NYUMA AFU UJINUSE UJUE HARUFU YAJO CHOKO WEWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Wewe mbn unaongea pumba
Nyamazaa bana

Kama hela huna piga kimyaaa waache wenye hela waenjoy
Watu wanahelaa sasa
Million 3 wewe kwako mtaji mwezio hela ya kula siko moja sasa wapi na wapi

Use ur common sense
 
Mkuu unajua kuna watu wanalipwa zaidi ya $300,000/= kwa mwaka na hizi international Organization?? Kwa mtu ambaye ubongo wake uko vizuri bila shaka alishajua Mama yake na Iryn alikua anafanyia kazi Organization gani.

Unashangaa Muajemi kuhonga hizo necklace za almost 30m wakati kuna wabongo wanahonga hadi nyumba? na magari ya kifahari. Unajua wewe unaona ni kama haiwezekani sababu huna hela ila kwa wenye pesa ni vitu vya kawaida sana. Muajemi account zake zilikua zinasoma dollar $2Billions na mapoint kazaa huko, ashindwe kuhonga 30m?, wakati Harmonize anahonga hadi Range 2 [emoji23][emoji23]

Kwa mara ya kwanza nakutana na Muajemi alinipa 1million hio 3m umeitoa wapi mkuu?

Nilijifunza kitu kimoja kwenye hii Dunia, hakuna Mwanaume asiyehonga ila tumetofautina level za kuhonga tu. Kama unaweza kumuhonga demu savanna 5 kuna mtu anahonga gari au nyumba. Ukiwa huna hela unaweza ona haya mambo hayawezekani ila ukipata hela utaona ya kawaida sana.

Iryn alikua mwanamke mzuri sana aisee, tuseme Alibarikiwa tu. Endelea kufuatilia story kuna mambo mengi sana yaliendelea huko mbele.
Huyo Iryn unasema alikuwa inamaana now sio mzuri or alisha R.I.P?
 
Sallam SK akiingia element anamaliza zaidi ya 20million kwa usiku mmoja, kuna jamaa alitrend sana pale Kidimbwi alitumia kama 54million kwa usiku mmoja, kuna watu wanahela hapa bongo ni vile hatuna connection nao tu.
Ha ha ha nimecheka kuhusu Sallam SK. Namjua vizuri hana hela hizo unazoongea ndugu yangu. Halafu kutumia milioni 54 Kidimbwi nayo ni kamba. Hivi unajua stock ya milioni 54 ni canter mbili za pombe. Hao watu wa kunywa hizo pombe za gharama say Moet za milioni 54 wana matumbo au mapipa.

Tuwe tunafikiria kidogo masela mavi

Ila usikonde INSIDER MAN, mie stori yako naipenda na kila nusu saa nachungulia kuona kama umepost kiroho safi.

Unatuburudisha mno iwe uhongo iwe kweli mie umenikamata mno
 
Umasikini mbaya sana tutafute pesa tu,mtu anashangaa mtu kuhonga necklace na bracelet ya mil 30 wakati kuna watu wanahonga gari ya mil 100.
Mfano kampuni ya heko pharmacy hawa ni importers wa madawa nchini wana mtoto wao ambaye ndio msimamizi wa hiyo kampuni anatumia mpaka mil 100 kwa siku kwa kucheza kamari tu,ndio ushangae mtu kuhonga mil 30?
Aisee hapa bongo kuna watu wana pesa aiseee.
 
Inseder kasema anasubiri humu patulie ndiyo aendelee na story kama vipi embu wanandugu tumpe muda bila kuchangia lolote mpaka hapo atakapo kuwa na utayari huo, maana aliahidi ni leo mapema sana na mpaka sasa ni saa 12:37pm bado hajaleta muendelezo,
Nafikiri tutulie ili aweze kuja na mwendelezo lakini tukiendelea kuchangia hapa anaweza asilete mwendelezo
 
Umasikini mbaya sana tutafute pesa tu,mtu anashangaa mtu kuhonga necklace na bracelet ya mil 30 wakati kuna watu wanahonga gari ya mil 100.
Mfano kampuni ya heko pharmacy hawa ni importers wa madawa nchini wana mtoto wao ambaye ndio msimamizi wa hiyo kampuni anatumia mpaka mil 100 kwa siku kwa kucheza kamari tu,ndio ushangae mtu kuhonga mil 30?
😂😂😂Mkuu mods wasikuone
 
Inseder kasema anasubiri humu patulie ndiyo aendelee na story kama vipi embu wanandugu tumpe muda bila kuchangia lolote mpaka hapo atakapo kuwa na utayari huo, maana aliahidi ni leo mapema sana na mpaka sasa ni saa 12:37pm bado hajaleta muendelezo,
Nafikiri tutulie ili aweze kuja na mwendelezo lakini tukiendelea kuchangia hapa anaweza asilete mwendelezo
12:41
 
Mkuu Mimi wakati nimemaliza chuo nasoma CPA, nilikuwa naendesha Uber. Nimeendesha Uber kwa miaka 2. Dereva Uber ukiwa msomi, unajua kiingereza, una gari Kali, halafu dizaini ukionekana unafanana nao kwa maana ya elimu, sio maskini kivile (nilikuwa naishi goba kinzudi maghorofani), na una exposure ( Mimi nilisoma IFM) utakula sana maisha. Maana wateja wa kishua kwanza watakuheshimu na watakuamini sana.
Mimi nilipewa mpaka madili ya kwenda china na wateja.
Nimealikwa kwenye events za kifamilia na wateja wakike kama harusi, birthday party na nimewahi kupewa mwaliko na mbunge mmoja niende kwenye vikao vya bunge nikitaka kwenda bungeni baada ya kuongea naye na kuniona Nina interest na mambo ya siasa, na huyo mbunge nilimpakia kwenda airport, ndio tukafahamiana.
Nimewahi kuingia nyumba ya tajiri mmoja mkubwa sana tena sana kwasababu tu mtoto wake wa kike alikuwa mteja wangu.
Nimewahi kualikwa kwenye kutoa sadaka ya shukrani kanisa la UCC upanga na mke wa mkurugenzi mkuu wa shirika Moja kubwa la serikali, na kutambulishwa dereva wangu, jioni nikajumuika mbezi beach kwenye chakula Cha jioni, huyo mke wake tulijuana kwenye Uber.
Niliwahi kumpakia dada wa TBS anayeishi kota za TBS mikocheni pale karibu na kwa Mwinyi, yule dada ni mhasibu tukaja kutengeneza bond kubwa sana mpaka Leo, sasa wakati nakaribia kufanya mitihani ya CPA akaniambia njoo tukae wote mikocheni ili nimsaidie maana alinikubali sana, ndani tukawa tunaishi watu watatu tu, Mimi, yeye na mdogo wake, angekuwa tuna umri sawa ungenikuta ni shemeji Yako now, sema amenizidi kama Miaka 8 hivi, nimeishia kumfanya dada, ila mpaka Leo nikitaka kulala pale kota za TBS nalala.

Na kwasababu nilikuwa naishi Goba kinzudi maghorofani request zangu za asubuhi ilikuwa lazima ziwe goba, mbezi makonde, mbezi afrikana etc

Kuhusu kupeleka wanawake kugongwa hilo nimelifanya sana, nimewapeleka sana hotel za hapa bongo, nje ya mji bagamoyo, morogoro na kuwasubiria na kurudi now, anakupigia gharama za kwako kwa siku, mzungu analipa. Ni kawaida sana.

Kuhusiana na tenda za kupeleka watoto shule nilipataga hiyo tenda kupeleka watoto Kila siku pale Liberman, kuhusiana na kupeleka mtu kazini nilipataga ya kumpeleka mdada kazini asubuhi daily. Huyu dada ni mfanyabiashara wa kariakoo aliwahi ku-process mkopo bank ya access mil 80, ili aende kufuata spare za magari china, na siku hiyo alichomoa mil 20 alitaka kuongeza working capital dukani mil 10, na mil 10 akaenda kumalizia installment ya mwisho ya kiwanja hukohuko goba ili apate hati, na pesa hiyo mil 10 nilikuwa nayo Mimi kwenye gari, na kwenye kukabidhi Mimi ndio nilikabidhi na nikasaini mkataba wa mwisho wa kumalizia installment, ( Leo hii Mimi ndio namwandalia financial statements za biashara zake ) Huyo dada alikuwa ananishirikisha utadhani Mimi ndio mume wake, kumbuka ameolewa na ana watoto wawili. Kila safari ya china akienda airport na akirudi Mimi ndio nilikuwa nampeleka, ndio huyu akataka nijipange nianze kwenda china.

Hapo sijazungumzia connection za foreigner wakikujua wewe ni msomi na unajua vizuri kiingereza. Nimewahi kwenda mbuga za wanyama na foreigners wawili.

Narudia tena, dereva wa Uber ukiwa
[emoji3581] Unajua kiingereza
[emoji3581] Una elimu nzuri
[emoji3581] Ukionekana sio mswahili , ila ni lower-middle class economy.
Hayo mambo aliyoyasema INSIDER MAN utayaamini
Bora umemrudisha INSIDER MAN mchezoni maana kuna wapuuzi wanataka kumtoa mchezoni na hawa wapuuzi wapo toka enzi za Analyse wakapita pia kwenye njia za UMUGHAKA tukajakukutana nao kw BM X6 na hawakuishia hpo wakatokea kw marehemu leadermoe r.i.p huku wala si wakuwashangaa hawa na wajinga hawataisha milele so tuishi nao huku tukiendelea kuwaelimisha km hivi
 
Back
Top Bottom