Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Leo nimepita eneo ambalo linahistoria kubwa sana kwenye maisha yangu.[emoji23]
IMG_1986.jpg
 
Inseder kasema anasubiri humu patulie ndiyo aendelee na story kama vipi embu wanandugu tumpe muda bila kuchangia lolote mpaka hapo atakapo kuwa na utayari huo, maana aliahidi ni leo mapema sana na mpaka sasa ni saa 12:37pm bado hajaleta muendelezo,
Nafikiri tutulie ili aweze kuja na mwendelezo lakini tukiendelea kuchangia hapa anaweza asilete mwendelezo
Hauna kazi za kufanya mkuu hadi.unasubiri story
 
Haya mambo mtu kama hayupo kwenye system ya ulaji hawezi yajua

Mimi kuna mshikaji nilifanya nae kazi mwaka 2012 tulikuwa same level economic hata mshahara

Baadae mshahara wake ukaanza kupanda na vyeo na akapata connection kuhama ofice nyingine...na hiyo ofice ina malupu lupu kibao...

Alinipiga gap la hatari...now yupo vizuri saana kiuchuni...ana gari 3 zenye thamna ya 240milion, ana ghorofa ya kuishi...ashajenga apartment yenye ghorofa Goba Goba...kwenye list ya magari imo Range

Hii inamanisha kuna mtu mambo yake yakiwa sawa au akifunguliwa na Mungu...kuhonga milioni moja /3 kwake sio issue

Na maisha yanatofautiana

Mfano mwingine

Hivi mnajua mtu anaueishi apartment zile za upanga za akina Fida Hissein analipa kodi 2,500$ Usd...kwa madafu ni kama 5.8 kwa mwezi....je mtu huyu kwa mwaka anaingiza sh ngapi?? kama kodi ya mwezi tu analipia milion 6

Kuna watu wanamaisha basi tu
Kwa hiyooo sisi wengine tuna vifoo? [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Hatari gani tena inamkumba Iryne daaah ila INSIDER unakismart na heshima uliyonayo kwa Iryne itakufikisha mbali.

Safari ya bagamoyo imekaribia na mama wawili kakuahidi connection ya kazi Muajemi nae huyo na michongo ya hela bado Maggy aisee kuna watu mnabahati.
Bila Shaka SAS HV insider Ni meneja wa sheli za muajemi East Africa na Kati
 
hahahahahaha!! yote 9, kumi ni kwamba wanapewa hata ulivyohonga wewe, utasikia eti ."hiyo simu wewe ichukue tu",,na bado mwanaume umeagizwa mashine za saluni za mamilion (pumbavu kabisa).....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee mapeNzi Ni upuuzi mno jamaa simu ya iPhone amepewa dereva tax
 
Sallam SK akiingia element anamaliza zaidi ya 20million kwa usiku mmoja, kuna jamaa alitrend sana pale Kidimbwi alitumia kama 54million kwa usiku mmoja, kuna watu wanahela hapa bongo ni vile hatuna connection nao tu.
Acha uongo, Sallam hana hela unazotaka kutuaminisha mpaka apige bata la 20m per night.

Halafu kaka hivi unaijua 54m au umesimuliwa. Hapo kidimbwi hakuna mtu anayeweza kutumia hata 10m kwa siku. Ushamba wako wa mkoani usidhani wote tupo kama wewe. Tumezaliwa mjini na tunaujua mji mengi uliyoyaandika ni uongo umeongeza sifuri ila wajinga wa mkaoni wapenda story za mjini watakuchekelea.

We lete tu story kama changamsha genge ila mengi hayana uhalisia umeongeza chumvi.
 
Acha uongo, Sallam hana hela unazotaka kutuaminisha mpaka apige bata la 20m per night.

Halafu kaka hivi unaijua 54m au umesimuliwa. Hapo kidimbwi hakuna mtu anayeweza kutumia hata 10m kwa siku. Ushamba wako wa mkoani usidhani wote tupo kama wewe. Tumezaliwa mjini na tunaujua mji mengi uliyoyaandika ni uongo umeongeza sifuri ila wajinga wa mkaoni wapenda story za mjini watakuchekelea.

We lete tu story kama changamsha genge ila mengi hayana uhalisia umeongeza chumvi.
Duh!...
 
Watu wanaamini hii ni true story ya kweli yaani,

hakuna kitu kama icho....sema jamaa anajua kutunga hadithi....leta hadithi mkuu unajua kutunga sana.

Hivi true story nyie mnazijua kweli yaani muajemi akanipa milioni 5 alafu akaniongeza na milioni 2 [emoji28][emoji28][emoji38][emoji28][emoji28] you guys na nyie mnaamini kabisa.....

hivi mnakumbuka jamaa alipewa milioni 3 mwanzo kabisa na muajemi.[emoji16][emoji1787][emoji23] afu muajemi ampe demu vitu vya thamani ya 40milions hapo bado mashine za kisasa zilizopo dubai zinakuja...... demu naye hataki iphone 13 kamuachia msela, na msela naye hataki iphone 13 pro [emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]muajemi mwenyewe hata papuchi hataki kweli....

mama alianza kazi mwaka 91 na alikuja kulipwa milioni 45 kwa mwezi na organization X nchi hii hii ya walala hoi.....too much salt....too much sugar..... too much alcohol.....stori za kutunga hizi.....

Hakuna true stori ya hivi ila unajua kutunga sana....mbotswana pia alilala appartment za milioni 3 per month mswana mwenyewe ni black melanin afu jamaa kamezea hakula [emoji16][emoji16][emoji16]

Wewe hunaga gundu kabisa yaani.
Kweli aisee mm binafsi nilivyo ona Hilo igizo nikaona hapna haiwezekani , never on the earth.

Anyway acha aendele kutelemsha had mwisho mnk mm Bado sijaona kiini Cha story hii
 
Back
Top Bottom