Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Siku ya pili mfululizo ujafanya kazi una zurura tu na iryn [emoji41]

Ila nimependa jins ulivyo lihandle swala la muajemi ,kila saa unamkumbusha kuhusu mtu huyo design Kama asisahau kuwa Kuna ratiba hyo ya kumuona siku hyo
Sema kinacho Muokoa akipiga hela anapiga ndefu kwa mfano kuwakutanisha tu muajem analamba kama milion tatu kwa hiyo hata akishinda na irene wiki nzima wanalala tu hakuna kinacho haribika. Alafu ana zile ruti mbili kila asubuhi ambazo mwisho wa mwezi zinampa zaidi ya milioni mbili so jamaa hata akiamua kulala tu baada ya kupeleka wanafunzi shule bado ni uhakika
 
Hatari gani tena inamkumba Iryne daaah ila INSIDER unakismart na heshima uliyonayo kwa Iryne itakufikisha mbali.

Safari ya bagamoyo imekaribia na mama wawili kakuahidi connection ya kazi Muajemi nae huyo na michongo ya hela bado Maggy aisee kuna watu mnabahati.
 
Dunia inamambo ya ajabu sana wengine hadi wahonge hereni na cheni za dhahabu zenye mathamani makubwa makumbwa ya hela wengine wana mfurahisha irene kwa ofa ya kitimoto tu na wanakula na hug [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha na jamaa yaani angetaka mzigo Angepiga safi kabisa bila kuhonga.

Kitimoto ya buku 20 pale Juliana basiiii mtu analiwa.

Wewe unakuja na mivitu ya milioni 40 [emoji1787][emoji1787]
 
hahahahahaha!! yote 9, kumi ni kwamba wanapewa hata ulivyohonga wewe, utasikia eti ."hiyo simu wewe ichukue tu",,na bado mwanaume umeagizwa mashine za saluni za mamilion (pumbavu kabisa).....
 
Sema kinacho Muokoa akipiga hela anapiga ndefu kwa mfano kuwakutanisha tu muajem analamba kama milion tatu kwa hiyo hata akishinda na irene wiki nzima wanalala tu hakuna kinacho haribika. Alafu ana zile ruti mbili kila asubuhi ambazo mwisho wa mwezi zinampa zaidi ya milioni mbili so jamaa hata akiamua kulala tu baada ya kupeleka wanafunzi shule bado ni uhakika
Tatizo moja tu kwa Insider anamsahau sana mke wake anakuwa taken by events hela kweli anapiga na anakuwa busy sana imagine hata kumpigia simu mama Junior anajikuta amesahau.Natamani hapo mbeleni nijue kama ndoa hiyo iliendelea.
 
Hahahahaha na jamaa yaani angetaka mzigo Angepiga safi kabisa bila kuhonga.

Kitimoto ya buku 20 pale Juliana basiiii mtu analiwa.

Wewe unakuja na mivitu ya milioni 40 [emoji1787][emoji1787]
Dunia haipo fair kabisa, mwingine anatafuta kazi alipwe hata laki mbili mwingine anapewa milioni 5 kama asante😅😅😅
 
Dunia inamambo ya ajabu sana wengine hadi wahonge hereni na cheni za dhahabu zenye mathamani makubwa makumbwa ya hela wengine wana mfurahisha irene kwa ofa ya kitimoto tu na wanakula na hug [emoji16][emoji16][emoji16]

Mkuu wanawake wenye Pesa wanapenda vitu vidogo vidogo sana, kama Iryn alikua na pesa. Huwezi kumshawishi kwa pesa kabisa, Iryn nilikuaga namfanyia vituko sana na alikua anafurahi sana.
 
Back
Top Bottom